Mlipuko mkubwa watokea mji mkuu wa Lebanon, Beirut. Watu zaidi ya 78 wafariki na zaidi ya 4,000 kujeruhiwa

Sasa hapo ndio muone maajabu ya Mungu wa kweli wa ISRAEL wala israel haijahusika kulipua na hizo material zilizolipuka walikuwa wanaandaa silaha za maangamizI dhidi yaya watu wa Mungu wa kweli wayahudi. Ukitaka mambo yako yasikunyookee kuwa adui wa Israel. Sasa hivi mataifa mengi ya kiislamu yamegundua hili Omani, saudia, UAE, Maroc n.k kwa kichinichini na kujifichajificha kama nikodemu wanampigiaga simu netanyahu. Majuzi tu hapa Somaliland wanataka diplomasia na israel hadi wenzao Mogadishu wakaja juu.

hearly
Hamna mtu aliye bora mbele ya Mungu hii ilivunjwa wakati wakuzaliwa kwa Yesu na ndio maana watu wa kwanza kumwona Yesu ukiachana na yule nabii aliyeahidiwa kabla ya kufa atamwona Yesu,walitoka nje ya Israel moja ya nchi hiyo ilikuwa Ethiopia.

Ilikuwa na maana kwamba Mungu ni wa wote na ukombozi kupitia Yesu ulikuwa ni wa wanadamu wote,so kila roho mbele ya Mungu ina thamani haijalishi ana amini au la na ukitoa roho ya mwenzio, ataidai kwa njia anazojua yy kwani mwenye mamlaka ya kutoa roho ya mtu ni Mungu sababu yeye ndiye aliye iumba.

Kila mtu ni special mbele ya Mungu.
 
Dhuuu Israel mbona hatar huyu
Israel hausiki, embu tafuteni vyanzo vya habari au mumsikilize waziri mkuu wa Lebanon anasemaje. Sio kila kitu Israel Israel
Vitu vingine havihitaji umaridadi kuelewa the causative of the incident
 
Kadri nisomavyo michango ya wengi humu nabaki kucheka tu. Hii inaonesha wengi hudandia hoja/ habari kimhemuko kabla ya kuhabarika kwanza.
 
Nawaona mabeberu weusi wasio na utu wakishangilia vifo vilivyotokeaa lebanon, jikumbushieni yaliyotokea dodoma ndugu jamaa na marafiki walipoteza uhai, mbona mlilia sana! Au waarabu sio binadamu enyi wagalatia!
 
wengi wamechangia kwa kukurupuka... mara Israel, mara Hezbollah... tafuteni habari kamili msome... acheni kudandia...
huyo trump mwenyewe mapema asubuhi alitweet kwamba ni bombs... lakini hadi sasa amefuta tweet yake
 
Hawa jamaa Mossad Ni balaa. Wakiamua hata Ramallah inafutika fasta. waliwahi kumuwekea kamanda flan wa Syria mtego wa mrembo jamaa akaoa mke wa Pili kumbe snitch
Washawau sana hao wanasayansi wao tena kizembe saaaaana
 
1596625076134.png


Hawa ndio sababu
 
Wengi wanakimbilia na kupata Uraia Ulaya hasa Ujerumani. Ipo siku jamaa watajuta kuwakaribisha. Wamanga wenzao Saudia wamekausha tu, wanawasubiria wakienda kutalii tu Ili wazile Dola zao tu
Na itawatokea puani wale watu hawana wema kabisa, bado kidogo wataanza kudai haki zao hapo ndiyo mtiti utaanzia
 
PM wa Israel huwa anatumia Kiebrania na hawezi kuwa mpumbavu kukiri hata kama anahusika. Ajari haijatulia aanze kuropoka, unadhani Israel wanachagua viongozi takataka kama nchi za sehemu flani ya dunia.
Kweli kabisa, wale hawachagui hovyo hovyo, si unaona yule mpinzani wake wakaribu tena ndiye alishinda kiti hicho cha PM lakini kashindwa know serikali.
 
Nyie wajinga mnaye sema Israel ndio kafanya hayo nadhani hamna akili kabisa, Israel inajaa afu ingie vitani. Hivi hamjui wenzenu week nzima hawakulala wanaiogopa Hezbullah afu walete mengine. 😂
 
Back
Top Bottom