Giddy Mangi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 830
- 184
Watanzania mlio Dar huu mshindo mkubwa wa mlipuko ni nini kwa mwenye taarifa?naomba kuuliza kwani hofu imetanda Mikocheni
ni ngurumog itokanayo na radi we mtoto wa mama toka ndani nenda kwenye ujenzi wa taifa, unataka kusingizia mabom.
Mna hofu mikocheni eeenh?
leo dar tutaogelea kama samaki mitaa ya posta na foleni ya kufa mtu..
Pole sana, fisadi mmoja wa mtaani kwenu kapasuka tumbo!
Watanzania mlio Dar huu mshindo mkubwa wa mlipuko ni nini kwa mwenye taarifa?naomba kuuliza kwani hofu imetanda Mikocheni
wewe Ndo umesema cha maana hapa tanzania watu ni waoga mno ,utaona wanavyo haha sasa utanzania ni issue,wewe subira Njaa inavyotafuna watu ndo utajua kama amani ipo au la,Huwezi tofautisha mngurumo wa radi na bomu!!! Omba sana Tanzania iendelee kuwa na Amani, huko DRC, Rwanda, Somalia, Uganda katika milima ya Lira na kwingineko unakokufahamu hali kama hiyo ni siku nzima. Sasa wewe mara moja tu, hoi huwezi hata kutoka nje.