Ummy Mwalimu: Mikoa 6 ina mlipuko wa Kipindupindu

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,115
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametoa taarifa ya hali ya utoaji huduma za afya nchini kwa mwaka 2023 katika mkutano wake na Waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amesema mpaka sasa kuna Mikoa sita ambayo inaendelea na mlipuko wa kipindupindu nchini.

Waziri Ummy amenukuliwa akisema “kwa mwaka jana 2023 mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu ulitolewa taarifa katoka Mikoa 12 nchini ambapo Wagonjwa 927 na vifo 27 vilitolewa taarifa, Mkoa wa Arusha uliongoza kwa visa 214 lakini bahati nzuri hakukutokea kifo, katika Mkoa wa Mara jumla ya visa 193 na vifo vinane (8) vilitolewa taarifa, Mkoa wa Simiyu Visa 184 na vifo Viwili (2)”

“Mpaka sasa kuna Mikoa 6 ambayo inaendelea na mlipuko ambayo ni Shinyanga, Ruvuma, Tabora, Simiyu, Mwanza na Kagera”

Waziri Ummy amewapongeza Wakuu wa Mikoa pamoja na watendaji wa Sekta ya Afya ngazi ya Mikoa na Halmashauri kwa kuendelea kuimarisha usimamizi ili ugonjwa huo udhibitiwe.
 
Sawa
 
Hapa Dar hakuna tahadhari yoyote.
Jiji bado chafu.
Katikati ya jiji na Maeneo ya pembeni mwa jiji bado hali ya mazingira hairidhishi
 
Kipindupindu ni uchafu yaani kula kinyesi kwa nini Ummy hili huongei?
Dokta mmoja alisema kwenye semina.... "Nasema bila kupindisha ukipata kipindupindu tambua UMEKULA mavi kibichi nikisema kinyesi ntakupunguzia ukali wa maneno nikitumia lugha hii Kali utajua ni uchafu wa namna gani tunakula mpaka kupata kipindupindu ".... Nilichokaaaa ....
 
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametoa taarifa ya hali ya utoaji huduma za afya nchini kwa mwaka 2023 katika mkutano wake na Waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amesema mpaka sasa kuna Mikoa sita ambayo inaendelea na mlipuko wa kipindupindu nchini.

Waziri Ummy amenukuliwa akisema “kwa mwaka jana 2023 mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu ulitolewa taarifa katoka Mikoa 12 nchini ambapo Wagonjwa 927 na vifo 27 vilitolewa taarifa, Mkoa wa Arusha uliongoza kwa visa 214 lakini bahati nzuri hakukutokea kifo, katika Mkoa wa Mara jumla ya visa 193 na vifo vinane (8) vilitolewa taarifa, Mkoa wa Simiyu Visa 184 na vifo Viwili (2)”

“Mpaka sasa kuna Mikoa 6 ambayo inaendelea na mlipuko ambayo ni Shinyanga, Ruvuma, Tabora, Simiyu, Mwanza na Kagera”

Waziri Ummy amewapongeza Wakuu wa Mikoa pamoja na watendaji wa Sekta ya Afya ngazi ya Mikoa na Halmashauri kwa kuendelea kuimarisha usimamizi ili ugonjwa huo udhibitiwe.
Ilitakiwa Ummy afukuzwe kazi kwa kushindwa kufanya kazi vizuri hadi kipindu pindu kimeanza kupata kiki labda kama ni mpango wa kuomba misaada!

Kwanini Ummy kupitia uongozi wake watu wanakufa kwa kula kinyesi?
 
R.I.P JPM 😭😭
 
Mavi mle nyinyi, mumsingizie Ummy kawalisha mavi?

Majanga.
 
Moja ya hatua ya msingi KABISA ya kudhibiti Magonjwa ya Mlipuko yanasababishwa na Maji,ni kuhakikisha kwanza tuna MAJI YA KUTOSHA(,Water quantity),..huwezi kumwambia mtu achemshe maji,wakati hata maji yenyewe hana,anachimba chimba

Serikali iwekeze hasa kwenye kusambaza maji toka kwenye maziwa ,mito na hata uwekezaji kwenye kuvuna maji ya maji,uzuri tuna pata mvua ya wastani na juu ya wastani kwa mwaka

Elimu endelevu itolewe kwa ajili ya kuboresha maji ili yawe safi na salama( Water quality) bila kusahau utibuji wa maji kupitia Mamlaka za maji + elimu ya afya na usafi

Mwisho lakini sio kwa UMUHIMU,kujenga mifumo ya maji taka,ujenzi wa vyoo bora bila kusahau MATUMIZi sahihi ya vyoo hivi..
 
kuna tasisi kubwa tuh tena kitivo cha elimu ya juu naona inamtindo wa kuchuruza vinyesi kinachotoka kwenye chemba za nyumba za NHC pia kuna dampo liko karibu na mgahawa wa chakula ndani ya taasisi
 
Toa taarifa ofisi ya mtendaji kata au huo mtaa tatizo litatatuliwa.
 
Back
Top Bottom