mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,255
- 9,174
Yaani hadi leo hujui Yesu ndie Allah [emoji45] [emoji15] [emoji4] wee vipi chilubi[emoji12]Yesu yupo likizo kwaio maana na yeye atakuwa haioni dhulma au?
Yaani hadi leo hujui Yesu ndie Allah [emoji45] [emoji15] [emoji4] wee vipi chilubi[emoji12]Yesu yupo likizo kwaio maana na yeye atakuwa haioni dhulma au?
Allah hawezi kuwa Yesu, usijipendekeze bure. Tangu Lini Allah tunaemuabudu sisi upande wa kulia achokonolewe kwenye msalaba?Yaani hadi leo hujui Yesu ndie Allah [emoji45] [emoji15] [emoji4] wee vipi chilubi[emoji12]
Nakubaliana na wewe Allah sio allah ambaye si Muweza ambaye hawezi kuwa na Mwana hadi awe na mke kama wewe Chilubi [emoji4] amebakia kuapa apa ovyo na kuomba dua mbaya kwa Allah ili awaangamize Wakristo na Wayahudi [emoji38] [emoji38]Allah hawezi kuwa Yesu, usijipendekeze bure. Tangu Lini Allah tunaemuabudu sisi upande wa kulia achokonolewe kwenye msalaba?
Ukisoma Surat Ikhlas, utaona kuwa Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa. Yesu kazaliwa na Bikra Maria, kwaio Yesu Mamake ni Maria. Hapa tayari utaona kuwa Allah ni mwengine na Yesu ni Mwengine.
KWA SABABU NI DINI AMBAYO UNA CHUKI NAYOMagaidi wote wanatoka upande wa pili, kwann???
Kwani hiyo suratul ikhlas allah anabishana na nani wanaosema yeye kazaa [emoji45] [emoji38]Allah hawezi kuwa Yesu, usijipendekeze bure. Tangu Lini Allah tunaemuabudu sisi upande wa kulia achokonolewe kwenye msalaba?
Ukisoma Surat Ikhlas, utaona kuwa Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa. Yesu kazaliwa na Bikra Maria, kwaio Yesu Mamake ni Maria. Hapa tayari utaona kuwa Allah ni mwengine na Yesu ni Mwengine.
Allah hawezi kujigeuza kuwa binaadamu, wala Allah hawezi kuzaa wala kuzaliwa. Kwa sababu Allah sio Kiumbe. Yesu ni kiumbe ndio maana akazaliwa na akachokonolewa pale msalabani. Allah sio dhaifu kwamba eti anamatamanio ya kuzaa watoto. Sasa kwa vile Yesu ni Kiumbe, basi nae kupitia Bibilia akawa anamuelekea yule aliemuumba kwa ajili ya msaada. Swali Yesu alikuwa akiomba dua kwa nani? 😀 😀 😀Nakubaliana na wewe Allah sio allah ambaye si Muweza ambaye hawezi kuwa na Mwana hadi awe na mke kama wewe Chilubi [emoji4] amebakia kuapa apa ovyo na kuomba dua mbaya kwa Allah ili awaangamize Wakristo na Wayahudi [emoji38] [emoji38] View attachment 749950View attachment 749960View attachment 749962
Katika Quran, Allah habishani na mtu. Ila anatufunza viumbe wake. Ivi unafikiri Quran ni sawa na Bibilia? Quran ni maneno yatokayo kwa Allah muumba wa kila kitu. Bibilia ni maneno ya washkaji tu walojisikia kuongea na kuyaandika, afu basi wale akina rome nao wakachagua lipi liekwe lipi lisiekwe. 😀 😀 😀Kwani hiyo suratul ikhlas allah anabishana na nani wanaosema yeye kazaa [emoji45] [emoji38]
Sasa kwann magaidi yenu yanalipua marekan kuua watu wasio na hatia badala ya kuja kulipua nyumba yangu?KWA SABABU NI DINI AMBAYO UNA CHUKI NAYO
wee hata huoni hapo allah analia lia na kumjibu aliemtuhumu yeye ana mwana [emoji15] [emoji45] [emoji12] nani allah anamjibu [emoji45] hamfundishiki nyinyi...ndio sababu warabu wenye deen yao wanawakebehi[emoji12]Katika Quran, Allah habishani na mtu. Ila anatufunza viumbe wake. Ivi unafikiri Quran ni sawa na Bibilia? Quran ni maneno yatokayo kwa Allah muumba wa kila kitu. Bibilia ni maneno ya washkaji tu walojisikia kuongea na kuyaandika, afu basi wale akina rome nao wakachagua lipi liekwe lipi lisiekwe. 😀 😀 😀
bona mie ukiniuliza huwa nakujibu maswali yako ila wewe unayakimbia nnayokuuliza.? Nimekujibu swali lako kuwa Allah hajibishani na viumbe, ila anatufunza waja wake kuwa makafiri kama nyie kina mgeni mnamsingizia kuwa kazaa na kuzaliwa, sasa yeye anawapa taarifa kuwa hakuzaa wala hakuzaliwa ili tujue ukweli na uzushi wa kiyahudi waliokutungieni bibilia. Sasa usipapatike kama kuku anaekata roho, tulia kama moja na ujibu maswali unayoulizwa 😀 😀 au hayajibiki?wee hata huoni hapo allah analia lia na kumjibu aliemtuhumu yeye ana mwana [emoji15] [emoji45] [emoji12] nani allah anamjibu [emoji45] hamfundishiki nyinyi...ndio sababu warabu wenye deen yao wanawakebehi[emoji12] View attachment 750040View attachment 750043View attachment 750044
Swali gani umeuliza nimeshindwa kukujibu? Ananijibu mgen lini na wapi nilipomwambia allah kazaa? weka ushahidi [emoji15] au naye msingiziaji au mpiga ramli[emoji15] [emoji4] ooh Anawapa taarifa [emoji38] [emoji38] eti alikuwa anamuelekea nani [emoji12] katika Hali yake ya ubinadamu alikuwa anamuelekea Allah [emoji4] kama hujui wewe ndie muabudu sanamu mkubwa hadi unalibusu lile jiwe lenye umbile kama mwazi [emoji12] vazi sio hoja kama hoja hapo mnajipendekeza kwa deen isiyo wahusu [emoji15] [emoji12] [emoji4] kwa hiyo allah aliye sema hao Wasemao sisi ni Wakristo ni Wasomi na wacha Allah hamnazo, tena ni mshikaji wa mtaani [emoji38] [emoji38] umefuzu kwa kufru chilubi [emoji4]bona mie ukiniuliza huwa nakujibu maswali yako ila wewe unayakimbia nnayokuuliza.? Nimekujibu swali lako kuwa Allah hajibishani na viumbe, ila anatufunza waja wake kuwa makafiri kama nyie kina mgeni mnamsingizia kuwa kazaa na kuzaliwa, sasa yeye anawapa taarifa kuwa hakuzaa wala hakuzaliwa ili tujue ukweli na uzushi wa kiyahudi waliokutungieni bibilia. Sasa usipapatike kama kuku anaekata roho, tulia kama moja na ujibu maswali unayoulizwa 😀 😀 au hayajibiki?
Yesu mnaemwita Mungu, pale anapokuwa pekee yake na kuoba msaada, huwa anamuelekea nani?
Wazungu wamejua kuwazidishia uzuzu 😀 😀 😀 yaani zamani mlikuwa mkiabudu masanamu yenu ya kiafrika, leo mnaabudu sanamu la kizungu 😀 😀 😀
Naona unatuletea picha ya mawahabi 😀 😀 😀 nkajua unatuletea picha ya waislam. Labda nikuulize, waafrika wangapi wanakwenda Makka hapo walipo mawahabi wanakwenda kufanya ibada? halafu nijibu vazi wanalovaa waarabu na waafrika kwenye kuhiji lina tofauti gani? ukijibu hayo maswali basi utapata nuru kidogo 😀 😀 😀 bibilia haiwezi kukufanya ukawa na akili timamu, usichezee kabisa maneno ya washkaji wa mitaani 😀 😀 😀 afu unakuja kuambiwa ya Mungu!
ukweli kuhusu 9/11 utajulikana baada miaka 50 tangu tukio litokee...CIA wataachia hiyo taarifa...
kama sheria waliyojiwekea inavyowataka....sambamba na ukweli kuhusu kifo cha osama...
in sha allah watakaojaaliwa uhai...
Sipati picha hayo mahojiano yalivyo... Lazima water board ihusike... Yanaumiza hisia bila kuacha alama mwilini za makovu
Wanamgambo wa Kikurdi wanaofanya kazi ya kulinda amani kaskazini mwa Syria wanasema kuwa wamemkamata mtu mmoja mzaliwa wa Syria mwenye uraia wa taifa la Ujerumani ambaye anashukiwa kuwasaidia wanamgambo wa al-Qaeda kupanga mashambulizi ya September kumi na moja nchini Marekani mwaka 2001
Msemaji wa vikosi vya Kikurd ameeleza kuwa Mohammed Haydar Zammar amekuwa akifanyiwa mahojiano tangu alipokamatwa.
Zammar anashutumiwa kuwa ndiye kielelezo muhimu katika shambulizi la uwanja wa Hamburg katika jela nchini Ujerumani miaka ya 1990 wakati Mohammed Atta na wengine walipopewa kazi maalumu kisha kufundishwa kazi ya urubani na hatimaye kuruka na kuzielekeza ndege zao katika jengo pacha la kibiashara la World Trade Center na Pentagon.
Zammar alikamtwa pia nchini Morocco mwaka 2001 na akapeleka Syria lakini serikali ya Damascus ilimuachilia huru baada ya kubadilishana na mfungwa mwenye msimamo mkali
Chanzo: BBC Swahili
Nilikuuliza, Mungu wako huwa anamuelekea nani kumuomba? hebu nijibu basi.Swali gani umeuliza nimeshindwa kukujibu?
Nyie makafiri si mnasema Mungu ana mtoto? Si mnasema yesu ni mtoto wa Mungu 😀 😀 😀 sasa Allah anawaambia waja wake kuwa yeye hazai wala hazaliwi, tujue kuwa mtu akitujia akitwambia fulani mtoto wa mungu moja kwa moja tunajua huyo ni kafiri. 😀 😀 😀Ananijibu mgen lini na wapi nilipomwambia allah kazaa? weka ushahidiau naye msingiziaji au mpiga raml![]()
Leo nimeamini kuwa ukiwa mkiristo ujinga ni sifa yako 😀 😀 😀 kwaio wewe ukimbusu ndugu shavuni manake unamuabudu? Tobaaaaa........ Sisi hatukai tukaliomba jiwe, au nikuletee hadith ya Sahaba Omar alivosema kuhusu jiwe lile? Utadhalilika wewe shauri yako. 😀 😀kama hujui wewe ndie muabudu sanamu mkubwa hadi unalibusu lile jiwe lenye umbile kama mwazi
Mbona pumba hizi, yuko peke ake, halafu anamuelekea Allah? wakati yesu ni Allah? Ile picha inahusu hapa nlokuletea,katika Hali yake ya ubinadamu alikuwa anamuelekea Allah
😀 😀 😀 mnavopenda kujipa moyo si haba, Allah amesema Ahlu Kitab. Watu walioshushiwa kitabu na Allah, hakusema kuwa wasomi, amesema wao wanajua haya anayotwambia kwenye Quran, tuwaulize wao watathibitisha ukweliw wake. Wapi kasema kuwa nyie wasomi 😀 😀 😀 kwa upumbavu wa kuamini kuwa Mungu anajielekea mwenyewe na kujiomba msaada 😀 😀 😀 Unataka nikupe somo la ahlu kitab? unaweza ukenda kanisani kwako ukamtukana padre ukigundua ukweli. Kwa sababu wewe husomi maneno ya Mungu bali unasoma ya Paulo na roman catholic na yale wafalme wa zama izo wakiona kuwa sawa, huwezi kuwa ahlu kitab.kwa hiyo allah aliye sema hao Wasemao sisi ni Wakristo ni Wasomi na wacha Allah hamnazo
Nilikuuliza, Mungu wako huwa anamuelekea nani kumuomba? hebu nijibu basi.
[emoji117] [emoji117] Alikuwa Anamuelekea Allah [emoji118] [emoji118]
Nyie makafiri si mnasema Mungu ana mtoto? Si mnasema yesu ni mtoto wa Mungu 😀 😀 😀 sasa Allah anawaambia waja wake kuwa yeye hazai wala hazaliwi, tujue kuwa mtu akitujia akitwambia fulani mtoto wa mungu moja kwa moja tunajua huyo ni kafiri. 😀 😀 😀[emoji116] [emoji116]
Weka ushahidi wa ayat makafir wanapo sema Allah ana 'MTOTO' [emoji38] [emoji38]
Leo nimeamini kuwa ukiwa mkiristo ujinga ni sifa yako 😀 😀 😀 kwaio wewe ukimbusu ndugu shavuni manake unamuabudu? Tobaaaaa........ Sisi hatukai tukaliomba jiwe, au nikuletee hadith ya Sahaba Omar alivosema kuhusu jiwe lile? Utadhalilika wewe shauri yako. 😀 😀[emoji116] [emoji116]
Lile jiwe lililo kaa mithili ya mwazi ni nduguyo [emoji45] [emoji15] [emoji12] [emoji4] mbona mawe mengi mbagala sikuoni unayabusu [emoji45] omary asingelibusu lile jiwe ni kutokana na utemi wa abdul qathem [emoji38] [emoji38]
Mbona pumba hizi, yuko peke ake, halafu anamuelekea Allah? wakati yesu ni Allah? Ile picha inahusu hapa nlokuletea,
Hey father, its me, you 😀 😀 😀
Wee vipi umevurugwa [emoji45] [emoji4] Unamlinganisha Allah Mwenye wezo na allah asiye na uwezo [emoji15] [emoji12] usimlinganishe Allah na Babu yako mzaa mameyo! Mimi Mungu wangu ninaye Muabudu, Atakalo yeye Huwa na Hana mshauri! Ndivyo alivyo taka wee nani mpaka uhoji [emoji15] [emoji4]
😀 😀 😀 mnavopenda kujipa moyo si haba, Allah amesema Ahlu Kitab. Watu walioshushiwa kitabu na Allah, hakusema kuwa wasomi, amesema wao wanajua haya anayotwambia kwenye Quran, tuwaulize wao watathibitisha ukweliw wake. Wapi kasema kuwa nyie wasomi 😀 😀 😀 kwa upumbavu wa kuamini kuwa[emoji116] [emoji116]
Kasome suratul maida 82,83 sawa? [emoji118] [emoji118]
unazisoma kwa kukariri!
Mungu anajielekea mwenyewe na kujiomba msaada 😀 😀 😀 Unataka nikupe somo la ahlu kitab? unaweza ukenda kanisani kwako ukamtukana padre ukigundua ukweli. Kwa sababu wewe husomi maneno ya Mungu bali unasoma ya Paulo na roman catholic na yale wafalme wa zama izo wakiona kuwa sawa, huwezi kuwa ahlu kitab. [emoji116] [emoji116]
wee ummi tu huna ulijualo na mwalimu wako pofu hata Mungu hamjui [emoji12] ungekuwa mjuzi usingekuwa mkamuliwa ngama mtarajiwa, kata tatu komwe! Ingekuwa unajua Ukuu, Uwezo, na Maajabu ya Mungu, usingethubutu kuandika pumba hizo ulizo post [emoji15] [emoji12] Umebakia Paulo Paulo huku Mara RC ambao walikuwepo Kipindi alichokuwa abdul qathem hajafa na aliwaona wanasoma hiyo Biblia Takatifu na mungu wako akawaagiza kupitia kinywa cha abdul qathem muamini! Leo muma chilubi anajiona mjuzi [emoji15] hadi mungu wako amewapa Tumaini Wakristo Wasihofu na majumba yao ya Ibada Anayalinda [emoji106] una nini kinacho kusibu chilubi?! Harjununu fununu au ashki majunun [emoji15] [emoji4]
Vile vitabu Vatican walivovificha sijafahamu lengo lao nini? hawataki wajue kuwa yuda hakumsaliti yesu bali ulikuwa ndio mpango wa yesu? 😀 😀 😀[emoji116] [emoji116]
Kavifichue basi...sijui vilifichwa kabla ya muhammad au baadaye[emoji15] [emoji12]
Ukijibu jibu point to point kama nlivokujibu. Usikimbie hoja wala swali.
‘Jesus the Nazarene, a man attested to you by God with miracles and wonders and signs which God performed through Him in your midst, just as you yourselves know.’ (Acts 2:22) ------ Please mgeni, nahitaji kumjua huyu Mungu ni yupi?
mana biblia inatwambia kuwa Yesu ni mtu, attested by God, inaonesha ni wawili tofauti, sasa naomba unambie WHO IS THIS GOD WHO ATTESTED JESUS TO YOU?
Hili ndo jibu lako? 😀 😀 😀 😀 oyoooooooo...... umechacha kabisa... maana umeandika utumbo afu wa dagaa sasa.Yesu ni Mungu Kamili na Ni Mwanadamu Kamili! Uwezo wa Maajabu Hayo yapitayo ufahamu wa chiruubi Anao [emoji123] [emoji106] namshangaa mungu wako hata kuwa na mwana bila kuwa na mke Uwezo huo Hana [emoji38] [emoji38] mpeni mke tena mbuguma aache kulia lia [emoji4] sawa?