Mlipuaji wa majengo pacha Septemba 11 2001 akamatwa

Mlipuaji wa majengo pacha Septemba 11 2001 akamatwa

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,303
_100935576_3aa8a3b5-fc41-41a6-8937-3576026f8120.jpg

Wanamgambo wa Kikurdi wanaofanya kazi ya kulinda amani kaskazini mwa Syria wanasema kuwa wamemkamata mtu mmoja mzaliwa wa Syria mwenye uraia wa taifa la Ujerumani ambaye anashukiwa kuwasaidia wanamgambo wa al-Qaeda kupanga mashambulizi ya September kumi na moja nchini Marekani mwaka 2001

Msemaji wa vikosi vya Kikurd ameeleza kuwa Mohammed Haydar Zammar amekuwa akifanyiwa mahojiano tangu alipokamatwa.

Zammar anashutumiwa kuwa ndiye kielelezo muhimu katika shambulizi la uwanja wa Hamburg katika jela nchini Ujerumani miaka ya 1990 wakati Mohammed Atta na wengine walipopewa kazi maalumu kisha kufundishwa kazi ya urubani na hatimaye kuruka na kuzielekeza ndege zao katika jengo pacha la kibiashara la World Trade Center na Pentagon.

Zammar alikamtwa pia nchini Morocco mwaka 2001 na akapeleka Syria lakini serikali ya Damascus ilimuachilia huru baada ya kubadilishana na mfungwa mwenye msimamo mkali

Chanzo: BBC Swahili
 
Eti kwamba ni raia wa Ujerumani mzaliwa wa Syria [emoji848][emoji848][emoji848]. Kwa hiyo hii ndio iwe tiketi nyingine ya kuvamia Syria; AMA na Ujerumani nayo itavamiwa?

Tukio lenyewe la September 11 bado ni figisufigisu...limepikwa na wazayuni na USA. Yaani yote haya yanafanyika ili tuu Wazayuni ndio watawale Mashariki ya kati. Hawakomi tuuu kudanganya danganya aisee yaani mpaka watoto wadogo wanawashtukia. Lkn lililokuwa na mwanzo halikosi kuwa na mwisho na bila shaka mwisho wao umefika
 
Naona Wazayuni wanakuumiza sana, achana nao pambana na hali yako usijepata ugonjwa wa moyo kwa vitu ambavyo wala huviwezi.
 
Naumia kuona wasiokuwa na hatia wanakufa kwa matukio ya kutunga huku wakishabikiwa na watu kama nyie.

Vile vile unonekana hujui historia ya Mashariki ya kati.

Kweli kuna watu wana macho halafu hawaoni
 
Magaidi wote wanatoka upande wa pili, kwann???
 
Eti kwamba ni raia wa Ujerumani mzaliwa wa Syria [emoji848][emoji848][emoji848]. Kwa hiyo hii ndio iwe tiketi nyingine ya kuvamia Syria; AMA na Ujerumani nayo itavamiwa?

Tukio lenyewe la September 11 bado ni figisufigisu...limepikwa na wazayuni na USA. Yaani yote haya yanafanyika ili tuu Wazayuni ndio watawale Mashariki ya kati. Hawakomi tuuu kudanganya danganya aisee yaani mpaka watoto wadogo wanawashtukia. Lkn lililokuwa na mwanzo halikosi kuwa na mwisho na bila shaka mwisho wao umefika
Tatizo maarabu nayo majinga sana, yanachinjana kwa vitabu tu
 
ukweli kuhusu 9/11 utajulikana baada miaka 50 tangu tukio litokee...CIA wataachia hiyo taarifa...
kama sheria waliyojiwekea inavyowataka....sambamba na ukweli kuhusu kifo cha osama...
in sha allah watakaojaaliwa uhai...
 
Mada nzuri ila mmeleta udini,daah!!!! hapa wazungu ndipo walipotuweza tumekuwa kama maroboti
 
Ninyi (#US) si mlituaminisha Kuwa ni Osama.

Ko mtamrudisha Osama duniani kwa uonezi!
Kwani Allah yuko likizo hadi asione hiyo dhulma? Mara zote Allah ndiye mjuzi na mtetezi wa wanyonge wanao onewa dhahir na sirini! wee unatangaza nataka niifute Israel isiwepo [emoji15] [emoji12] kama warabu hamtaomba maghufira kwa allah walahi mtageuzana kibla mpaka mwisho wa dahari na kesho finnar jehannam halidina fiha abadan, [emoji117] hamtoki humo tutubwi [emoji31] [emoji24] mnamuona Allah Babu yenu mzaa Bibi eeh[emoji15] [emoji12]
19-surah-maryam-mary-72-728.jpg
 
Kwani Allah yuko likizo hadi asione hiyo dhulma? Mara zote Allah ndiye mjuzi na mtetezi wa wanyonge wanao onewa dhahir na sirini! wee unatangaza nataka niifute Israel isiwepo [emoji15] [emoji12] kama warabu hamtaomba maghu**** kwa allah walahi mtageuzana kibla mpaka mwisho wa dahari na kesho finnar jehannam halidina fiha abadan, [emoji117] hamtoki humo tutubwi [emoji31] [emoji24] mnamuona Allah Babu yenu mzaa Bibi eeh[emoji15] [emoji12] View attachment 749833
Yesu yupo likizo kwaio maana na yeye atakuwa haioni dhulma au?
 
Back
Top Bottom