Mliowahi kudate na wanawake athlete

Mkuu hapo usiachie komaa nae huwa waelewa na wapo vyema sana.. Bora we umepata wengine huku tumepatikana!.. nilienae kabobea kwenye uchawi nimeshazoea fisi ni kama mbuzi tu..😂
😂😂😂😂 Ndo maana comment yako inanuka manyoya ya fisi.
 
wako sawa sana.nilipokua kijana kijana i used to like them more athletey sababu nilikua napenda "vita" haswa,so yes,unahitaji kuwa fit.
kingine,wengi wao tunaishi nao kama "masela" tu(mim ni mwanamichezo mpaka leo) so utapata ka wivu kidogo ujipange,lakini kama kama beki hazikabi uwezekano wa kupitiwa pitiwa hovyo ni mkubwa mnoo,yaani mnooooo.
akili kukmkichwa
 
Wanakuwaga masela sana sijui kwanini
 
Afu kwann wengi wao hua hawana maziwa makubwa.?
 
Mlete huku kwangu nina vipimo nitampima kisha nitakuambia kama anapumzi au la! Waiter nipe konyagi ndogo na glass nipige faster, kuna kazi mbele yangu nataka niingie maabara[emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…