Mliopo Morogoro town nini tofauti ya lodge ya elfu 15, 20, na 30

Wajuvi wa lodge za hapo moro kuna tofauti gani kati ya guest za elfu 15, 20 na 30?

Nataka lodge nzuri kiasi lakini pawe na unafuu wa bei.

Mapopo ruksa kuelekeza viwanja vya bata
ya 15 na 20 ,zote zina tv na self,ila ya 20 ina maji ya moto na baridi,ya 15 ni baridi tu,ndani zote ziko poa,nenda SABASABA ROAD,ZIMEJAA KULE NA SAFI.
 
Vituo ni Iringa Road, Modeko, Kanisani, Ipo Ipo, FK, (nimekisahau), Kabla ya Reli, Shalom, Dark City, Unashuka hadi Darajani unaingia Mazimbu campus, Madukani, Double Up, Solomon Mahlangu, Unaanza zile Units .

Hio ni kwa mujibu wa mwaka 2006.
Halafu wewe tulikuwa wote hapo, Mimi kea mujibu wa mwaka 2005
 
Nenda msamvu nyuma ya gwami kula kitu ya kuchoma kwa Kimario ukitoka tuu hapo nende Karibu na gwami kwa Kushoto kuna vitu vipya ghorofa jipya msamvu oye
Hivi pale papya bei gani? Nilipita nikaona parking ya maana na mataa taa ya kuita hela zetu zilizopo mifukoni
 
panda basi za Mazimbu, shuka kituo kimoja kabla ya Dark City (nimekisahau jina),
kuna lodge safi pale ya 30k
iko karibu na chuo cha SUA 😋
kama ni mzee wa watoto wa chuo basi utagegeda mpaka uchoke wewe
mzee dronedrake........mawazo na maelekezo yako huwa yanaeleweka
tatizo wana huwa hawafuati hizi codes
 
Nyingi zinatofautiana ubora wa kunguni kuwa, makini usije ondoa na mifugo.
 
Ila Tanzania kuelewa swali ni mtihani mkubwa sana, imagine mtoa mada anataka sababu za utofauti wa bei za lodge lkn wananchi wanamuelekeza sehemu zinapopatikana lodge
Thread ime evolve hadi mbinu za kupata mbususu.
 
Wajuvi wa lodge za hapo moro kuna tofauti gani kati ya guest za elfu 15, 20 na 30?

Nataka lodge nzuri kiasi lakini pawe na unafuu wa bei.

Mapopo ruksa kuelekeza viwanja vya bata
Kama mtu atapata safari ya kwenda Turiani Wilaya ya Mvomero tafadhali hebu shukia Swahili Louge , hutajuta kbs Kwa huduma nzuri na pa kulala pazuri sana. Na bei ni rafiki sana. Karibuni nyote.!!
 
Back
Top Bottom