Mliopo kwenye ndoa !!


Baba Samira kwani we umeoa?
 
Hapo chachaaaa,,,kuna ile kumkifu mtu unataka mpeane muda hivii ,,yaan mi nawaza sana sijui kama ntaweza
Utaweza tu ukishaingia kuna changamoto nyingi sana kuna kufurahi na kuchukia.

Changamoto mtazitatua kutokana na hali itakayokuwepo kwa wakati huo.

Ila cha msingi upendo,heshima na kusamehe hapo maisha ya ndoa ndio yatasonga mbele.

Kama unapenda kuwa huru huku ndugu hakuna uhuru wa ki hivyo maisha ni kuamuliana.
kuna raha nipo kwenye ndoa miaka kadhaa sasa.
usiogope ingia ujione mwenyewe.
 
Hizi ndoa bana zipo za aina mbili

1. Kunawalio oa ilikusogeza huduma ya mgegedo karibu hawa ndio sikuzote hawaishi kulalamika

2. Kunatuliooa kutimiza maandiko sie ndio wale ambao ndoa zetu hudumu katika mapendo furaha na amani ( MAFUA )mpaka kufikia hatua ya kuambiwa mke na mume mmefanana
 
Kuna muda kulala peke yako inachosha lakin kuna muda mwili unahitaji ulale peke yako na marafiki zako wa kike n.k
 
Wewe ukiona cha nini wenzako wanajiuliza watakipata lini!
Jamaniiii matola wetu jamaniii hata kutualika hakuna,ujue matola tumetoka mbalio sieee
 
Acheni woga. Inaonekana wengi humu wanapenda zinaa so hawaoni umuhimu Wa kuoana.
But ndoa ndio mchezo mzima. Wala ya halali Mungu aliyo ruhusu.
Alafu mkishindwa vumiliana ujue wewe unaudhaifu. Aliye kamili ni Mungu muumba si binadamu mwenzio, sasa kwanini akushinde.
Lengo
Tafuta kwa nini unaoa au unaolewa.?

Kugombana kupatana ni moja ya majaribu so jitahidi uyashinde.

Mfano.
Mko kwenye ndoa miaka 7 make anakwambia umuache eti kakuchoka. Unatrace unakuta hakupendi, kuna mwingine anampenda na unamjua. Wewe unampenda mkeo. Je utafanya nini?
 
Umetisha eti mke na mume kufanana
ni kweli lkn mie huwa najipongeza mwenywe kwa miaka mingi naona nitakaribia kufanana na mr.
 
mimi nadhani kama ikitokea nikaolewa nitakuwa na chumba changu na huyo babe cha kwake kwanza vitu vitakuwa vingi humo chumbani .saa ingine mtu unaitaji space eti !
Ukimpata mwenye nyumba siting room kama uwanja wa taifa je?
 
Mi naamin unaweza ishi na mwanaume ana uwezo wa kawaida tu na akaja akapata pesa,huwezi taka uishi na tajiri tu weeee
Akaja pata ondoa mana inategemea kunali kilichopo kwanza utakua na amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…