Kutokana na matukio ya visa vya mauaji kushamiri mwezi huu wa OCTOBER naomba muswada wa dharura upelekwe bungeni kuliokoa taifa na mauaji ya walimbwende.Mwezi october nchi nzima watu wote waachane na shughuli za mapenzi kwa siku 30 mpaka november 1.
Hii itasaidia kupunguza mikwamo ya kihisia na...
Hellow wana JF.
Hii hali ya kuwaondoa machinga na watu wanao uza kwenye meza pale kariakoo bila kuwaelekeza wapi waende naona kama haijazingatia pande zote mbili(wananchi-serikali).
Nashauri Pale kariakoo baadhi ya nyumba za NHC chakavu chakavu zivunjwe alafu yajengwe maeneo ya...
Mimi nashauri CCM wenye madaraka watupe katiba alafu kuwe na kifungu cha kuwalinda waliokuwa wameuwa raia, walio tufisadi yani tuanze upya tujdai kama hakukuwa na kitu yan tuanze upya kama taifa jipya yan tunaashumu tulikuwa utumwani sasa tuko huru kama vile ambavo tulipewa uhuru na wakoloni ...
Nimemsikiliza MH john heche Makamu ,Mwenyekiti wa CHADEMA akisema imebakia 40m wafike lengo la kukusanya milioni kadhaa za Baraza kuuu takatifu la CHADEMA.
Nashauri,
Mr SUGU na Proffesa J andaeni shooo iitwe tone tone stendaup.
Uwanja wa Taifa Kiingilio kiwe sh 500 tu kwa kila mpenda...
Nchi yetu ni nchi ya demokrasia ya vyama vingi.
Demokrasia inaleta ushindani wa hoja sera mawazo Bora zaidi ya kujenga nchi yetu.
Viongozi wa Chadema wanastahili pongezi ya kukubali kukaa mstari wa mbele kutetea haki na Demokrasia KATIKA nchi yetu.
Sisi kama WAZALENDO tunatamani tuone vyama...
Ni muhimu zaidi vyama vya siasa vyenye sifa za kikatiba za kushiriki chaguzi ndio haswa viketi chini pamoja na kushauriana namna ya kuliunganisha taifa kwa hiyari katika maridhiano hayo miongoni mwa waTanzania.
Hakuna haja,
wala sababu hata moja ya kubabaika na porojo au masharti useless ya...
1. Ndugu Mafwele
2. Ndugu Muliro
3. Ndugu Abdul
Nalionba sana jeshi letu liwalinde hawa raia kwa wivu mkubwa, ili awamu ijayo watusaidie kuwatafuta ndugu zetu waliopotea.
Nawasilisha.
Kuna watu wakishaona Tanzania imeanza kujijenga kiuchumi basi nao wanaanzisha program za kula ili mradi watu wasipate ajira, MIRADI ya maendeleo isiwepo, watumishi wasiongezewe mishahara, ili wapate hoja ya kulalamikia.
Nadhani kwa mtu anayejua athari za wale panyaroad wa chadema hawezi...
Nilipata likizo fupi nikasema hebu niende Vientiane na wenzangu kula maisha Kidogo,
Kwa wasioijua Vientiane ni mji mkuu wa kinchi kimoja kiko Asia kinaitwa Loas, kuna totoz balaa nilienda Mpaka sehemu inaitwa Viang vieng, kinchi kile ni kizuri sana na ni very cheap ! Kutoka hapa Singapore hadi...
Hawa watu ndo chanzo cha migogoro yote katika kila ofisi
Hawa watu anaweza kua anakuchekea lakn anakufanyia majungu hata shetani mwenye anatamani ajifunze somo kwao
Hawa watu wapo kama miungu watu hawakosea na sisi wengine ni subhuman
Hawa watu kusengenya ndo kipaji chao kikuuu ondoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.