Brown Mduma
Senior Member
- Sep 29, 2020
- 184
- 294
Soma uzi kwa kutulia Mkuu,halafu ndo u comment.Imeandikwa "kijana atamuacha baba yake na mama yake, ataambatana na mke wake nao watakuwa mwili mmoja"......mwanamme atampenda mke wake na mke atamheshimu mume wake"
Ni basi tu, nimechelewa kuoa nikiwa 31's lakini amani ninayoipata, Ndugu zangu wenyewe wameshangaa kwanini nimeshindwa kabisa kupungua unene mbali na kufanya kote mazoezi na kuzingatia balanced dietHuu uzi maalum kwa wale waliooa; tunataka kujua faida mnazozipata baada ya kuoa au tuseme ni kitu gani mnaweza tushawishi sisi ambao hatujaoa tuchukue hatua kama nyinyi, hebu mtupe faida mnazozipata baada ya kuoa ambazo sisi mabachela hatuzipati.
Si kweli, labda kama uliangukia pua kwa feminists kwa bahati mbayaMkuu nina uhakika wachache watakwambia ukweli
Ila wanaume wengi wanajilaumu at 45 age kwa nini alioa
Ndio maana single mother ni wengi saiv