Mliooa au mnaoishi na wanawake, mnafanyaje?

Mliooa au mnaoishi na wanawake, mnafanyaje?

miaka inakwenda kweli, vuta mlupo unaoupenda, mwambie kaa hapa tuyajenge. ukipokea mshahara mkabidhi na ile slip ya salary.... mwambie naomba ya nauli, then weka kiasi hiki benki.... dogo, utaishi vema mno....in six monthy...cheki akiba (sahau kabisa michepuko) jenga familia...ongea nae vipi inatosha kuanzisha chochote tuongeze income?... angalia uelekeo wake....akikwambia ndio, tulizana, add 3 monthy tena.....then aanzishe kitu, mpende mtunze.....nakwambia mnatoboa,,,,,nilianza na laki,,,,,,nililishwa kabichi kama sungura, ila tulivuka, ila sijui nini kilimgeuza na safari ilikuwa mbali sana.....ila anzia hapo
 
Wanawake ndio wanaopenda kuzaa,hawazalishwi,kwa nini wakubali kujamiiana au kubeba mimba kabla ya kuolewa?
Chain ni ndefu sana, alieanza kumrubuni mwanamke wa kwanza akazaa nae bila ndoa watoto wakakua bila baba kwa tabu na mateso na njaa kali kama ni wakike wenyewe wanakuwa rahisi kurubuniwa wakipewa vipesa kidogo wanaachia mapaja kujistiri na njaa

Kwa sasa kilichobaki ni sisi wanaume tusitumie mwanya wa njaa za watoto wa malaya kuzalisha malaya Dunia itajaa malaya
 
Mkuu naomba nikupe ushuhuda wangu tuu.
Kuna mwanamke alikuwa single mother wa mtoto mmoja(nilimkuta ana mtoto), lakini nikamwambia sitaki nimzalishe kabla ya kufunga ndoa, lakini cha ajabu Alisema mimi Sina nguvu za kiume, baada ya hapo Kuna fundi gereji alikuwa na IST akamkubalia na jamaa akapiga mpaka demu akapata mimba,hapa saivi yule dada ana siku tano amejifungua,
Cha ajabu yule jamaa saivi hatoi hela na IST ameshauza,ingawa wanaishi wote.
Jana yule dada amelazwa hospital mtoto kazidiwa ila ananipigia mimi kuniomba nimsaidie hela ya nauli kwenda hospital na hela ya viatu vya shule vya mtoto wake wa kwanza.
Hapo utnilaumu mimi? au utawalaumu hao wanaume?
YEYE MWENYEWE NDIO ALITAKA KUZAA,HIVYO ABEBE MSALABA WAKE.
Kazanazo
 
Wakuu mimi ni bachela early 30 ndo naianza anza hivo, sijaoa, ila nnae mtoto wa kusingiziwa(nasema hivi kwa kuwa nilipewa taarifa tu kuwa nna mimba yako,nikakiona kichanga tu mpaka now mtoto ana 3yrs natumiwa picha tu japo nimerandisha kidogo hivyo nimepigwa limit na wazaz wa msichana kwa sababu flan flan hii sio story ya leo) .

Sasa sijawahi kuoa, ila nimejishikiza kataasisi flani cha binafsi posho ya mwezi mkia wa mbuzi kiasi kwamba wiki mbili tu hali inaanza kuwa taabani, hatari ni kwamba baada ya kuianza 30 tu mambo yamekuwa magumu sana kwangu tofauti na plan na matarajio yangu, sasa muda huu ghafla nikiwa nimejipumzikia muda huu nimejikuta nawaza hali yangu na kuanza kufikiri kwa vipi wale wenye mishahara ya 150,200,300 mnaishije na hawo wanawake wengine na watoto kabisa wakati mi nipo alone sina majukumu heavy halafu pesa HAITOBOI?

Hebu nipeni code mnafanyaje wazee ukizingatia napata malawama na mashinikizo toka kwa ndugu, wazazi na jamaa kuwa nioe umri ndo huuuuu oya....
Ishi kitourist kama min -me
 
Ni mwendo wa shoka kichwani tu nimeona taarifa kuna mwingine wa kusini leo kalambishwa udongo
B92F6CEF-4BCE-4775-AF14-3AEF2B6E939D.jpeg
 
Mkuu naomba nikupe ushuhuda wangu tuu.
Kuna mwanamke alikuwa single mother wa mtoto mmoja(nilimkuta ana mtoto), lakini nikamwambia sitaki nimzalishe kabla ya kufunga ndoa, lakini cha ajabu Alisema mimi Sina nguvu za kiume, baada ya hapo Kuna fundi gereji alikuwa na IST akamkubalia na jamaa akapiga mpaka demu akapata mimba,hapa saivi yule dada ana siku tano amejifungua,
Cha ajabu yule jamaa saivi hatoi hela na IST ameshauza,ingawa wanaishi wote.
Jana yule dada amelazwa hospital mtoto kazidiwa ila ananipigia mimi kuniomba nimsaidie hela ya nauli kwenda hospital na hela ya viatu vya shule vya mtoto wake wa kwanza.
Hapo utnilaumu mimi? au utawalaumu hao wanaume?
YEYE MWENYEWE NDIO ALITAKA KUZAA,HIVYO ABEBE MSALABA WAKE.

Duh hatar sana
 
Back
Top Bottom