The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 21,185
- 48,957
Anamaanisha vipato vya laki na nusu, laki mbili na laki tatu.Hii ni shingapi?
Anamaanisha vipato vya laki na nusu, laki mbili na laki tatu.Hii ni shingapi?
Millioni mia hamsini na ushee unashindwa kuishi, are you serious bro?Wakuu mimi ni bachela early 30 ndo naianza anza hivo, sijaoa, ila nnae mtoto wa kusingiziwa(nasema hivi kwa kuwa nilipewa taarifa tu kuwa nna mimba yako,nikakiona kichanga tu mpaka now mtoto ana 3yrs natumiwa picha tu japo nimerandisha kidogo hivyo nimepigwa limit na wazaz wa msichana kwa sababu flan flan hii sio story ya leo) .
Sasa sijawahi kuoa, ila nimejishikiza kataasisi flani cha binafsi posho ya mwezi mkia wa mbuzi kiasi kwamba wiki mbili tu hali inaanza kuwa taabani, hatari ni kwamba baada ya kuianza 30 tu mambo yamekuwa magumu sana kwangu tofauti na plan na matarajio yangu, sasa muda huu ghafla nikiwa nimejipumzikia muda huu nimejikuta nawaza hali yangu na kuanza kufikiri kwa vipi wale wenye mishahara ya 150,200,300 mnaishije na hawo wanawake wengine na watoto kabisa wakati mi nipo alone sina majukumu heavy halafu pesa HAITOBOI?
Hebu nipeni code mnafanyaje wazee ukizingatia napata malawama na mashinikizo toka kwa ndugu, wazazi na jamaa kuwa nioe umri ndo huuuuu oya....
Njoo unibarikiMke ni baraka atakuja na kipato......😁
(Team kweka wanasonya kisha wananambia kmmk)
Sure ,mafahali wawili hawakai zizi moja ,50/50 inaua sana ndoa kwasasa.Hakuna ndoa au mahusiano perfect Duniani, Ukiona watu wanaishi vizuri jua kuna mmoja anamvumilia mwingine.
Kwahyo ni lazima mtu mmoja ajitoe akili au match au kubali mawazo, tabia na kila kitu cha mwingine ili mambo yaende hapo mta kufa na kuzikana
Sasa Evelyn Salt🤓 ndoa zinasumbua hata wenye nazo sasa wewe kapuku si unyumba utausikia redioni mkuu
Sahihi mkuu mwenyewe was in à situation like yours lakini toka niushinde uoga naona mambo yanaenda na vijana wanazidi kuniita baba.
Ila pia oa usikose vyote
Sawa ngoja nifosiOa tu utaona mambo yanafunguka seriously!
Ahsante mkuu kipato kidogo ila kuna nguvu behind inanihitaji nioeMm Nilianza kuishi na mwanamke nikiwa 28yrs tukazaa mtt mmoja wakat huo nalipwa 450k nilipo panda kijicheo nkawa nalipwa 550k nkafunga ndoa nikiwa 30yrs baada tu ya kufunga ndoa mambo yalininyookea asee daah sahv am 33yrs nna watoto wawili nipo kwenye ajira ya Kudumu inshallah life is Good....ushaur wangu Usioe kutokana na pressure ya Jamii au Tamaa Pambana unavojua Ww angalau kuwa na uwakika wa kipato kizuri Ndoa ni majukumu...ila nnachoamini kama una Nia ya dhati ya kutaka kuoa ili utulie na Familia yako muombe Mungu na ongeza juhudi za Kutafuta rizik Mungu atakubariki Mambo yatakua mazuri tu, Usiridhike na hapo ulipo Pambana and don't Give up!!
KumbeHakuna ndoa au mahusiano perfect Duniani, Ukiona watu wanaishi vizuri jua kuna mmoja anamvumilia mwingine.
Kwahyo ni lazima mtu mmoja ajitoe akili au match au kubali mawazo, tabia na kila kitu cha mwingine ili mambo yaende hapo mta kufa na kuzikana
Umekurupuka mkuuMillioni mia hamsini na ushee unashindwa kuishi, are you serious bro?
SawaKama imani yako ya dini ni dhaifu, basi achana na ndoa. Ishi kwa kuvuta warembo na kutimiza nyegere zako huku focus na maisha yako bila kusahahu uwe japo na wa kusingiziwa. Yaani kama ndoa zisingeambatishwa na nguvu ya kidini, zisingekuwa maana yoyote.
Maisha sio mapesa mengi bali location na upatikanaji wa mahitaji ta kirahisi !!Wakuu mimi ni bachela early 30 ndo naianza anza hivo, sijaoa, ila nnae mtoto wa kusingiziwa(nasema hivi kwa kuwa nilipewa taarifa tu kuwa nna mimba yako,nikakiona kichanga tu mpaka now mtoto ana 3yrs natumiwa picha tu japo nimerandisha kidogo hivyo nimepigwa limit na wazaz wa msichana kwa sababu flan flan hii sio story ya leo) .
Sasa sijawahi kuoa, ila nimejishikiza kataasisi flani cha binafsi posho ya mwezi mkia wa mbuzi kiasi kwamba wiki mbili tu hali inaanza kuwa taabani, hatari ni kwamba baada ya kuianza 30 tu mambo yamekuwa magumu sana kwangu tofauti na plan na matarajio yangu, sasa muda huu ghafla nikiwa nimejipumzikia muda huu nimejikuta nawaza hali yangu na kuanza kufikiri kwa vipi wale wenye mishahara ya 150,200,300 mnaishije na hawo wanawake wengine na watoto kabisa wakati mi nipo alone sina majukumu heavy halafu pesa HAITOBOI?
Hebu nipeni code mnafanyaje wazee ukizingatia napata malawama na mashinikizo toka kwa ndugu, wazazi na jamaa kuwa nioe umri ndo huuuuu oya....
Kimpangilio wa numerali 150,200,300 ni ngapi hapo?Umekurupuka mkuu