Mlionywa lakini hamkusikia, mtavunjika shingo

Kuna mzee alitoa rai mapema mwaka 2015 kuwa hawa jamaa (jina kapuni) ni CCM B. Mkashupaza shingo, mkadeki mabarabara ,mkasindikiza watu kuchukua form. Sasa inasemekana wamewaacha solemba. Hii inadhihirisha kuwa CCM ni taasisi yenye nguvu sana barani Africa.

N:B sina chama ni raia wa kawaida ila penye ukweli lazima niseme
Utakuwa mwendawazimu,CDM almanusura ichukue nchi!Kule zanzibar CCM iligaragazwa wakaweka mpira kwapani kwa kumtumia refa jecha!
Hakuna CCM B ambaye anaweza kutumika kwingine kuiangamiza CCM A!Muwe mnafikiri kabla ya kuandika upupu wenu!
 
Ungejibu hoja yake na sio kuleta jazba
Kama walitumwa kwa kazi maalumu,iweje wanyang'anywe mashamba ndio wakumbuke kurudi?Mwenye akili timamu hawezi kuandika uzi wenye hoja dhaifu namna hii!Kwa hapa propaganda kapata sufuri!
 
Hoja ni kwamba mlishupaza shingo bila kuchukua onyo mlilopewa kuwa hawa ni... Mkakomaa kama vile hamjui
Kwa maoni yako,waliisaidia CDM au hawakuisaidia?
Hujamsikia Mama Samia Suluhu akionya wanaCCM juu ya kukata watu kwa upendeleo maana 2015 walihenyeshwa kisawasawa?
Kama mwana CCM namba 2 nchi hii aliye jikoni anasema hivyo,wewe ni nani?
 
Maswali mengiiii lakini hayana uhusiano na watu kuachwa solemba kimkakati.
 
Kuna mzee alitoa rai mapema mwaka 2015 kuwa hawa jamaa (jina kapuni) ni CCM B. Mkashupaza shingo, mkadeki mabarabara ,mkasindikiza watu kuchukua form. Sasa inasemekana wamewaacha solemba. Hii inadhihirisha kuwa CCM ni taasisi yenye nguvu sana barani Africa.

N:B sina chama ni raia wa kawaida ila penye ukweli lazima niseme
Kati ya upinzani na hao wazee nani amepoteza? Lowasa kapoteza sana vitu vingi ikiwemo heshima katika jamii na nguvu ndani na nje ya chama vimeyeyuka kabisa. Sumaye naye vile vile.
 
Kama walitumwa kwa kazi maalumu,iweje wanyang'anywe mashamba ndio wakumbuke kurudi?Mwenye akili timamu hawezi kuandika uzi wenye hoja dhaifu namna hii!Kwa hapa propaganda kapata sufuri!
huna jicho la tatu ndio maana ni wepesi kuhadaiwa.
 
mikono mliizungusha mkiamini ni mabadiliko
Kura mili 6
Wabunge nyomi haijawahi kutokea
Zanzibar CCM ikapigwa chini mpaka ikatumia ubabe kwa kumtumia Jecha!
Muulize mama Samia,anajua kivumbi walichokipata 2015 mpaka leo anawaonya mapema kabisaa maana hajasahau!
 
kwahiyo kura milioni 6 wameondoka nazo
 
Kutoka Dar hadi mwanza ni kilometer 1300 roughly,Dar mtwara ni Km 400.Kwa akili yako kujenga barabara kilometa 1700 kwa lami in 60 years of uhuru with all the resources we have,au kujenga nyumba za milioni 30 ,3o na kuziita hospitali au vituo vya afya bila vifaa wala wahudumu wala dawa ndo maendeleo, Mkuu naomba ujinuse na ujiangalie vizuri kwenye kioo kama wewe ni mtu aliyehai au ni maiti,please be serious
Mwenye macho haambiwi tazama.
 
Utakuwa mwendawazimu,CDM almanusura ichukue nchi!Kule zanzibar CCM iligaragazwa wakaweka mpira kwapani kwa kumtumia refa jecha!
Hakuna CCM B ambaye anaweza kutumika kwingine kuiangamiza CCM A!Muwe mnafikiri kabla ya kuandika upupu wenu!
Kwa taarifa yako maalim ni CCM A na endelea kushupaza shingo mpaka utapovunjika ndio utakumbuka . kama hujui siasa za bongo bora ukae kimya.
 
Back
Top Bottom