yungwe
Member
- May 1, 2019
- 45
- 24
Umesha-panic Mmawia
Raia wa kaida yupoje ?Kuna mzee alitoa rai mapema mwaka 2015 kuwa hawa jamaa (jina kapuni) ni CCM B. Mkashupaza shingo, mkadeki mabarabara ,mkasindikiza watu kuchukua form. Sasa inasemekana wamewaacha solemba. Hii inadhihirisha kuwa CCM ni taasisi yenye nguvu sana barani Africa.
N:B sina chama ni raia wa kaida ila penye ukweli lazima niseme
Typing error.ila ujumbe umefikaRaia wa kaida yupoje ?
Ujumbe upi mkuu?Typing error.ila ujumbe umefika
Kuna mzee alitoa rai mapema mwaka 2015 kuwa hawa jamaa (jina kapuni) ni CCM B. Mkashupaza shingo, mkadeki mabarabara ,mkasindikiza watu kuchukua form. Sasa inasemekana wamewaacha solemba. Hii inadhihirisha kuwa CCM ni taasisi yenye nguvu sana barani Africa.
N:B sina chama ni raia wa kawaida ila penye ukweli lazima niseme
Milango yafunguka Majizi kurudi ccm kwa furaha
Aisee...majizi kutoka wapi Mkuu?Milango yafunguka Majizi kurudi ccm kwa furaha
Yalikulia ccm yakatoroka baaada ya kuwaibia wenye nji yakaenda kujificha kijiji jirani cdm. Yalipokurupushwa kule kichakani sasa milango ikawafungukia kurudi home
WaTanzania hua mnakua na point hafifu sana, kwa maana hiyo watu kama Patrobas Katambi, Moses Machali, David Kafulila, Kitila Mkumbo na wengine wengi walioanza maisha ya kisiasa Upinzani na baadae wamerudi CCM wote hao wametumwa na vyama vyao vya awali?Typing error.ila ujumbe umefika
Kwamba CCM ni balaa. Imejizatiti.Ujumbe upi mkuu?
pointless.WaTanzania hua mnakua na point hafifu sana, kwa maana hiyo watu kama Patrobas Katambi, Moses Machali, David Kafulila, Kitila Mkumbo na wengine wengi walioanza maisha ya kisiasa Upinzani na baadae wamerudi CCM wote hao wametumwa na vyama vyao vya awali?
Kuna watu wanaishi kwenye ndoa zao kwa upendo na unyenyekevu ya hali ya juu kwa sababu maalum na siyo kua wanapenda na kufurahia ndoa zao ni sawa tu na wanasiasa.
Kubali ukatae kungekuwepo na uwanja sawa kwa vyama vya siasa kufanya shughuli zao za kisiasa wanasiasa wengi wa CCM wangetawanyika kwenye vyama vingine kutoka CCM sema wakiangalia uwanja usivyo sawia wanabaki kufa na tai shingoni.
Mkurupukaji na Kibendera katika ubora wakeWewe ni gamba tu huna lolote mchumia tumbo tu
In God we Trust
Mkurupukaji na Kibendera katika ubora wakeWewe ni gamba tu huna lolote mchumia tumbo tu
In God we Trust
Kweli ni taasisi yenye nguvu sana barani africa, the only thing sijui ni hizo nguvu zinatumika zaidi kuhujumu nchi yetu na watu wake au kulinda makaburi? Maana ile vita tuliyotangaziwa miaka 60 iliyopita ya kupambana na ujinga,maradhi na umasikini hakuna hata mmoja kutoka kwenye hiyo taasisi imara anayeweza kusimama na kutoa updates of where we are,yaani kila kitu ni afadhari ya miaka ya kabla ya vita vya kageraKuna mzee alitoa rai mapema mwaka 2015 kuwa hawa jamaa (jina kapuni) ni CCM B. Mkashupaza shingo, mkadeki mabarabara ,mkasindikiza watu kuchukua form. Sasa inasemekana wamewaacha solemba. Hii inadhihirisha kuwa CCM ni taasisi yenye nguvu sana barani Africa.
N:B sina chama ni raia wa kaida ila penye ukweli lazima niseme
unakijua unachokiongea?Kuna mzee alitoa rai mapema mwaka 2015 kuwa hawa jamaa (jina kapuni) ni CCM B. Mkashupaza shingo, mkadeki mabarabara ,mkasindikiza watu kuchukua form. Sasa inasemekana wamewaacha solemba. Hii inadhihirisha kuwa CCM ni taasisi yenye nguvu sana barani Africa.
N:B sina chama ni raia wa kaida ila penye ukweli lazima niseme