Mlionywa lakini hamkusikia, mtavunjika shingo

Mlionywa lakini hamkusikia, mtavunjika shingo

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
8,746
Reaction score
5,771
Kuna mzee alitoa rai mapema mwaka 2015 kuwa hawa jamaa (jina kapuni) ni CCM B. Mkashupaza shingo, mkadeki mabarabara ,mkasindikiza watu kuchukua form. Sasa inasemekana wamewaacha solemba. Hii inadhihirisha kuwa CCM ni taasisi yenye nguvu sana barani Africa.

N:B sina chama ni raia wa kawaida ila penye ukweli lazima niseme
 
Kuna mzee alitoa rai mapema mwaka 2015 kuwa hawa jamaa(jina kapuni) ni CCM B. Mkashupaza shingo, mkadeki mabarabara ,mkasindikiza watu kuchukua form.Sasa inasemekana wamewaacha solemba. Hii inadhihirisha kuwa CCM ni taasisi yenye nguvu sana barani Africa.
N:B sina chama ni raia wa kaida ila penye ukweli lazima niseme
Wewe ni gamba tu huna lolote mchumia tumbo tu

In God we Trust
 
Kuna mzee alitoa rai mapema mwaka 2015 kuwa hawa jamaa (jina kapuni) ni CCM B. Mkashupaza shingo, mkadeki mabarabara ,mkasindikiza watu kuchukua form. Sasa inasemekana wamewaacha solemba. Hii inadhihirisha kuwa CCM ni taasisi yenye nguvu sana barani Africa.

N:B sina chama ni raia wa kaida ila penye ukweli lazima niseme
Labda yenye nguvu kwenye wizi wa kura

In God we Trust
 
Screenshot_20200212-143342_Chrome.jpg
 
Hili linafahamika ndio maana hakupewo vyeo nyeti, na alitengwa katika mema ya chama,
huwezi kuwekwa maeneo nyeti au kuenjoy cake ya chama kama haupo loyal!
 
Back
Top Bottom