Mlionywa lakini hamkusikia, mtavunjika shingo

Mlionywa lakini hamkusikia, mtavunjika shingo

Nilisha kushauri kuwa umri unakuwacha ukiwa hapo bibititi na huna unalo lipata.

Rudi nyumbani kwenu Mwandiga ukalime michikichi, ukavue migebuka na utengeneze kayoga
Mkurupukaji na Kibendera katika ubora wake

In God we Trust
 
Hapo ndiyo wapenzi wa ccm wanapo jidhihirisha kuwa ni mbumbumbu tu
Uimara kwenye nini kutawala wanyonge au kushinda kwa 99.9% Katika uchaguzi unaoandaliwa,kusimamiwa na matokeo kutangazwa na kada na mbunge wa ccm au?

In God we Trust
 
Lowasa hakuzingua!ni kweli alikua na nia ya uraisi!!kweli alishinda lakini hakutangazwa!!!Ameamua kurudi joto lilipo zidi sana!!!
 
Kuna mzee alitoa rai mapema mwaka 2015 kuwa hawa jamaa (jina kapuni) ni CCM B. Mkashupaza shingo, mkadeki mabarabara ,mkasindikiza watu kuchukua form. Sasa inasemekana wamewaacha solemba. Hii inadhihirisha kuwa CCM ni taasisi yenye nguvu sana barani Africa.

N:B sina chama ni raia wa kaida ila penye ukweli lazima niseme
Kwa hiyo taasisi yenye nguvu inaongoza nchi masikini sana Afrika
 
Hapo vipi? Au tuongeze ukubwa wa picha
IMG-20200212-WA0003.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli ni taasisi yenye nguvu sana barani africa, the only thing sijui ni hizo nguvu zinatumika zaidi kuhujumu nchi yetu na watu wake au kulinda makaburi? Maana ile vita tuliyotangaziwa miaka 60 iliyopita ya kupambana na ujinga,maradhi na umasikini hakuna hata mmoja kutoka kwenye hiyo taasisi imara anayeweza kusimama na kutoa updates of where we are,yaani kila kitu ni afadhari ya miaka ya kabla ya vita vya kagera
Una hakika na unachosema? Mwaka 1990 kulikuwa na lami toka mza mpaka dar? Kulikuwa na lami Dar mpaka Mtwara? Hizo hospitali na vituo vya afya hauvioni?
 
Una hakika na unachosema? Mwaka 1990 kulikuwa na lami toka mza mpaka dar? Kulikuwa na lami Dar mpaka Mtwara? Hizo hospitali na vituo vya afya hauvioni?
Kutoka Dar hadi mwanza ni kilometer 1300 roughly,Dar mtwara ni Km 400.Kwa akili yako kujenga barabara kilometa 1700 kwa lami in 60 years of uhuru with all the resources we have,au kujenga nyumba za milioni 30 ,3o na kuziita hospitali au vituo vya afya bila vifaa wala wahudumu wala dawa ndo maendeleo, Mkuu naomba ujinuse na ujiangalie vizuri kwenye kioo kama wewe ni mtu aliyehai au ni maiti,please be serious
 
Back
Top Bottom