Mliompigia debe Magufuli nawauliza swali...

Mliompigia debe Magufuli nawauliza swali...

Sawa kama mimi ni kichaa nakubali na kila Binadamu ana ukichaa kwa namna moja au nyingine, tusubiri 2020 tuone kama kuna atakayemzidi kwa kura Magufuli wetu!
Labda kwa ila zenu za wizi..!CCM kwa wizi!?!?!??chama kimeshakosa dira na matumaini at a kwa wananchi maskini..!maskini aishi kama shetani tena?!??!
 
Sawa kama mimi ni kichaa nakubali na kila Binadamu ana ukichaa kwa namna moja au nyingine, tusubiri 2020 tuone kama kuna atakayemzidi kwa kura Magufuli wetu!
Wanaohesabu kura na kutangaza matokeo unajifanya huwajui mpaka useme tusubiri 2020?
 
Labda tujiulize ....hivi mliompigia kura EL ...mliipigia kura Chadema au EL? ....Kama mlipigia chadema ....chadema ni nini? Mbowe? Mliwahi kuhoji kauli za viongozi wenu kabla hamjafanya uchaguzi? K
ama mliichoka CCM ...CCM ni watu ...je mlichoka jina la CCM au watu waliowafikisha hapa? Mliokuwa mkiwapigia debe mnawatenganisha vipi na hili? Tuache siasa tujitambue na kusimamia haki kwa faida ya taifa la kesho.
Chadema ni taasisi kubwa,lowassa ni mtu mmoja. Ilani aliyokuwa anainadi ni ya chadema hakuja nayo yeye. Huyu mliyempigania hata yale mnayodhani anafanya vizuri ni kwa sababu tu ya ushabiki. Lkn hakuna cha maana. Hakuna mifumo inayowekwa ya kisheria kuhakikisha kinachofanywa kinabaki,lkn vyote vinavyofanyika ni one men show..!!

Hapa kikubwa ni vitisho,kiasi kwamba ikitokea akatoka hata leo,mambo yanarudi vile vile. Kwangu ccm hata wangemsimamisha dr.slaa mwenyewe bado nisingewapigia kura. Tangu mwaka 1995 sijawahi kuipigia kura ccm na sitafanya hivyo maisha yangu yote ya hapa Duniani.
 
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.

This is the pill that the patient needed....Kama alivyosema Steve Job alipofukuzwa Apple...Ilibidi abadilike haraka ili mambo yaende na aliwahi kukiri kwamba kipindi alichotoka Apple ndicho kipindi alichoweza kuwa mbunifu zaidi kuliko kipindi chochote kile....ni dawa aliyohitaji...Yes ni dawa tuliyokuwa tunahitaji ili tuanze kutumia akili zetu
 
Labda kwa ila zenu za wizi..!CCM kwa wizi!?!?!??chama kimeshakosa dira na matumaini at a kwa wananchi maskini..!maskini aishi kama shetani tena?!??!

Kwa hiyo, tukusaidiaje sasa?
 
Sawa kama mimi ni kichaa nakubali na kila Binadamu ana ukichaa kwa namna moja au nyingine, tusubiri 2020 tuone kama kuna atakayemzidi kwa kura Magufuli wetu!
Unajipa matumaini ya magufuli kurudi ikulu 2020 kwa sababu mnafahamu hata msipo shinda mtajitangaza mmeshinda, lakini kihalali hata wakisema uchaguzi mkuu uitishwe tena kesho na huakika Magufuli hapati hata 10% ya kura zote.

Huu mwaka mmoja umetosha kabisa kutuonyesha yeye hakufaa na wala hafai kuwa raisi.
 
Inasaidia nini sasa kama unaamini hivyo halafu hakuna kitu unaweza kufanya?
 
Sawa kama mimi ni kichaa nakubali na kila Binadamu ana ukichaa kwa namna moja au nyingine, tusubiri 2020 tuone kama kuna atakayemzidi kwa kura Magufuli wetu!
Huoni Aibu?
 
Ila leo Magufuli kanifurahisha sana katika hotuba yake aliposema ni marufuku kushinda uchaguzi kwa rushwa.hii itawacost wengi sana.
 
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.

Swali lako ni RAHISI na SIMPLE. Nchi hii ilikuwa imefikia PABAYA sana.Hata kama angekuwa ni Lowassa ilihitaji RADICAL CHANGES /Mabadiliko MAKUBWA.

Na ndo sababu Magufuli akaanza mabadiliko haya ambayo wengine yawatia KIWEWE na wasiwasi bure!
Magufuli mwenyewe si asilimia 100% katika UTENDAJI wake maana SI malaika.
Kuna MAZURI na kuna MAPUNGUFU yake!
Lakini tukiangalia kwa MAKINI sana, MAZURI ya Magufuli yana OUTWEIGH/ YANAZIDI mapungufu yake kwa asilimia kubwa sana!
 
Id hii uko salama sana hata Wazee wa System wakidukua haina shida, nami acha nijiunge na kina Prof Benson Bana.

Ninaunga Mkono hatua zote za Mh. Rais kwny kutekeleza majukumu yake ya kila Siku [emoji3][emoji3][emoji3]!
 
...

And I don't think I'll ever vote for CCM in my lifetime.

Well said Nyani Ngabu! There a saying that goes "time will tell". Whether what you have just written stays on, however, before your keyboard, who would know!

As why he was voted in office, is reflected in what has been achieved so far under his leadership. What he said today, before CCM party leaders, depicts his personality.

If you do not like him, hate him, but mind you, he remains the Big BOSS.
 
Pilitoni
No point seen. Anyway, appedomire is, as anyone with proper mind to satisfy existence of peace in mankind history would have seen, living in you still. You should give a view than insulting others, ni wazi kuwa na wewe bado unaona vema kumtendea udhalimu mtu.
 
Alipata kura hizo ulizotaja kulingana n.a. Lubuva nasio kutokana n.a. kura walizopiga watanzania

Kwa hiyo tukusaidaje sasa? Kwa nini huyo Lubuva asikusaidie na wewe upate hizo kura?
 
Inasaidia nini sasa kama unaamini hivyo halafu hakuna kitu unaweza kufanya?
Nimejibu madai yako kwa kuelezea ninacho kiamini na ndio mtazamo wa walio wengi.

Mna uhakika wa kushinda tena 2020 ni kwa ushawishi upi mlionyesha mpaka dakika hii?

Nasema nyie labda mjitangaze washindi lakini hakuna aliye na hamu nae tena labda wahafidhina wa lumumba.
 
Back
Top Bottom