Mliompigia debe Magufuli nawauliza swali...



una maanisha nini unaposema mabaya yake ni mengi mno kuliko Mazuri yake????
 
2020 sipigi kura
 



amepambana na mafisadi pamoja na kutetea rasilimali za taifa letu la tanzania, pia a mejitahidi kurudisha nidham makazini, hasa kwa watumishi wa umma, kitendo ambacho hapo awali hakikufanywa kwa asilimia zote na watangulizi wake.
 
sudden u turn,what happened to this post...ahaaa ha ha ha(le mutu's style)
 
Aisee hii thread tamu kwelikweli, na huu ndio wakati wakati wake muhafaka.
 
Swali bado liko palepale. Tarakimu ndio hizo sasa.
 
Thread za bavicha za kumkashifu Rais wa mioyoni mwao zikifukuliwa hutawaona tena.
 
JPM ni jembe .....ukatae au ukubali......mimi binafsi namuunga mkono 100%
 
sudden u turn,what happened to this post...ahaaa ha ha ha(le mutu's style)

Nope.

Nothing done changed.

If he fucks up I'll tear him up.

If he does good I'll give him credit.

Same goes for the opposition.

I'm an equal opportunity basher. Something you and your ilk can't understand because you lack the requisite intellectual wherewithal.
 
haa haa acheni kufukua makaburi bhana

Hakuna makaburi hapo.

Msimamo bado ni uleule.

Nikuonyeshe mada zingine ambazo nimemchana Magufuli?

Nikuonyeshe pia ambazo nimemuunga mkono kwa sababu alichofanya nakikubali?

Tatizo ni huo uwezo wenu mdogo wa kiakili.

Hamuelewi kuwa mtu unaweza ukakubaliana na mtu kuhusu jambo fulani na ukatofautiana naye kuhusu jingine.

Kwenu, kwa sababu ya uduni wa akili zenu, mnadhani kuna mawili tu....kukubaliana kwa asilimia 100 na kutofautiana kwa asilimia 100.

Poleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…