Mtazamaji, si nilikwambia mimi, ila kanikamata mimi.Acha upotoshaji Mkuu!
MNH na NIMR wenyewe walifanyia utafiti dawa ya babu na kulihakikishia taifa kuwa haina madhara!
Usilete mkanganyiko kwa watumizi wa dawa bana!
Cant buy this!
- kwa maana nyingine itasaidia kupunguza gharama ya matibabu na ARV. cost saved = profit teh teh teh
- uzuri mwingine kama ni weli wanapukutika inaweza kuwa nafuu maana asometime ARV zinawafanya wafe katika mateso ya hali ya juu ndhani ya muda mrefu. Kiteknolojia tunasema to die gracefully without too much torture
Ah ah ah ah, subiri PakaJimmy akusikie.
Cant buy this!
Whats that comparison between ARVs saved and cost dog?
U save for what purpose?...will that money be handed back to you in cash? ha ha haa!
You guys are fairy story tellers!
Well, get rid of the jam that used to hinder a normal flow!...huh!
Acha upotoshaji Mkuu!
MNH na NIMR wenyewe walifanyia utafiti dawa ya babu na kulihakikishia taifa kuwa haina madhara!
Usilete mkanganyiko kwa watumizi wa dawa bana!
Woow, a class 3 Qn!...Chanzo ni Sokwe!..Ndio waliokuwa wanaugua ugonjwa huu!.Pakajimmy anaweka ushabiki mbele zaidi na mambo ya imani .wakati hii thread naona mod wameileta huku ili ijadiliwe kiteknolojia. labda tumulize Pakajimmy Chanzo HIV ni nini ?
There are tens of threads in here answering your qn!tell us Sir what is the chemical content and composition of babu's cup of life ?
PJ sometime class three Qn 3 can be hard.Woow, a class 3 Qn!...Chanzo ni Sokwe!..Ndio waliokuwa wanaugua ugonjwa huu!.
I dont know if i hv answered you!
taarifa zako si za kuaminika!
Ninafanya kazi na aliyekuwa mgonjwa wa ukimwi na baada ya kunywa dawa ya babu amepona!
Kwa magonjwa mengine apart from ukimwi ndio karibu ofisi nzima wamepona na wameachana na mambo ya madawa haya conventional!
Babu endelea na kazi, watu wananusurika na kukwepa kaburi!
Mungu akupe siku!
Wanaokubeza hakika wameshindwa!
Hivi jamani ukiongea au kuandika kwa kiingereza ndio unakuwa umeongea/kuandika kiteknolojia???????Ni hayo tu.
- kwa maana nyingine itasaidia kupunguza gharama ya matibabu na ARV. cost saved = profit teh teh teh
- Kiteknolojia tunasema to die gracefully without too much torture
Hivi jamani ukiongea au kuandika kwa kiingereza ndio unakuwa umeongea/kuandika kiteknolojia???????Ni hayo tu.