mliokunywa kikombe kwa babu

mliokunywa kikombe kwa babu

Acha upotoshaji Mkuu!
MNH na NIMR wenyewe walifanyia utafiti dawa ya babu na kulihakikishia taifa kuwa haina madhara!
Usilete mkanganyiko kwa watumizi wa dawa bana!
Mtazamaji, si nilikwambia mimi, ila kanikamata mimi.

Ah ah ah ahAh ah ah ah, PakaJimmy kama nakuona vile.
 
  • kwa maana nyingine itasaidia kupunguza gharama ya matibabu na ARV. cost saved = profit teh teh teh
  • uzuri mwingine kama ni weli wanapukutika inaweza kuwa nafuu maana asometime ARV zinawafanya wafe katika mateso ya hali ya juu ndhani ya muda mrefu. Kiteknolojia tunasema to die gracefully without too much torture
Cant buy this!
Whats that comparison between ARVs saved and cost dog?
U save for what purpose?...will that money be handed back to you in cash? ha ha haa!
You guys are fairy story tellers!
Well, get rid of the jam that used to hinder a normal flow!...huh!
 
Ah ah ah ah, subiri PakaJimmy akusikie.

Pakajimmy anaweka ushabiki mbele zaidi na mambo ya imani .wakati hii thread naona mod wameileta huku ili ijadiliwe kiteknolojia. labda tumulize Pakajimmy Chanzo HIV ni nini ?

Cant buy this!
Whats that comparison between ARVs saved and cost dog?
U save for what purpose?...will that money be handed back to you in cash? ha ha haa!
You guys are fairy story tellers!
Well, get rid of the jam that used to hinder a normal flow!...huh!

tell us Sir what is the chemical content and composition of babu's cup of life ?
 
Mkuu MODERATOR Ninakuomba hii Thread ipeleke kwenye Jukwaa la JF Doctor hapa sio jukwaa lake asante Mkuu Moderator nakutakia kazi njema
 
Acha upotoshaji Mkuu!
MNH na NIMR wenyewe walifanyia utafiti dawa ya babu na kulihakikishia taifa kuwa haina madhara!
Usilete mkanganyiko kwa watumizi wa dawa bana!

Hata maji (H2o) hayana madhara lakini kitaalam huwuezi kunywa maji kama dawa ya malaria.

Walichosema MNH na NIMR ni kufanya kazi ya TBS na taasisi yya usalama wa chakula na vinywaji. Wao walitakiwa kusema kama hiyo dawa kweli ina tibu au ina chemicali zinazojaribu kwa kiais fulani kupambana na huyo kirusi matata.

Response ya dawa kuwa haina madhara kutoka MNH is unprofessional au haijakamilika.

Upo hapo ?
 
Pakajimmy anaweka ushabiki mbele zaidi na mambo ya imani .wakati hii thread naona mod wameileta huku ili ijadiliwe kiteknolojia. labda tumulize Pakajimmy Chanzo HIV ni nini ?
Woow, a class 3 Qn!...Chanzo ni Sokwe!..Ndio waliokuwa wanaugua ugonjwa huu!.
I dont know if i hv answered you!

tell us Sir what is the chemical content and composition of babu's cup of life ?
There are tens of threads in here answering your qn!
U wan' me to retrieve for your head?...Poa i will do!
 
Masikini Sokwe, Mambo ya 'zoonosis' SIV became HIV in humans, Magayz sasa wanapumua, maana chanzo si wao tena, bali Sokwe tena Sokwe toka southern Cameroon...! Dah!
 
Dawa ya babu anasema haiponyi ila ipo kiimani zaidi!!!!babuuu Mungu akujalie!!
 
Woow, a class 3 Qn!...Chanzo ni Sokwe!..Ndio waliokuwa wanaugua ugonjwa huu!.
I dont know if i hv answered you!
PJ sometime class three Qn 3 can be hard.
Sokweeee mhhhhh do u believe it??? u need i hour to a and listen carefuuly this documentary.

Ukweli hao jamaa wanaficha chanzo .sokwe wanabambikiwa tu kuficha ukweli halisi kuwa kirusi hiki na man made.
 
Last edited by a moderator:
taarifa zako si za kuaminika!
Ninafanya kazi na aliyekuwa mgonjwa wa ukimwi na baada ya kunywa dawa ya babu amepona!
Kwa magonjwa mengine apart from ukimwi ndio karibu ofisi nzima wamepona na wameachana na mambo ya madawa haya conventional!
Babu endelea na kazi, watu wananusurika na kukwepa kaburi!
Mungu akupe siku!
Wanaokubeza hakika wameshindwa!

nawapa hongera waliopona. Mimi siwezi kufagilia uongo. Sikupona na ugonjwa wangu ulilipuka tena upya.....
Hongera mliopona jamani
dawa hii inaponysha baadhi wengine kama mimi "sikupona"
 
  • kwa maana nyingine itasaidia kupunguza gharama ya matibabu na ARV. cost saved = profit teh teh teh
  • Kiteknolojia tunasema to die gracefully without too much torture
Hivi jamani ukiongea au kuandika kwa kiingereza ndio unakuwa umeongea/kuandika kiteknolojia???????Ni hayo tu.
 
Hivi jamani ukiongea au kuandika kwa kiingereza ndio unakuwa umeongea/kuandika kiteknolojia???????Ni hayo tu.

hahahhahaa uzuri sio jukwaa la lugha na kingereza nilnachtumia ni cha kaumbass hata aliyemaliza darasa la saba atanielewa.

Duhumuni zima la mawasiliano ni mtumaji na mtumiwa ujumbe kuelewana. Unaweza kutumia kiswahili tu usieleweke na unaweza ukachaganya ukaeleweka. Vile Vile Official communication ya Tanzania ni Kiswahili na kingereza. Ina maana wengi wetu hatuko best on both. Nusu nusu. teh teh teh

Sometime pia mambo ya kiteknlojia kutokana na elimu yetu unakuwa confromatable kuyaandika au kuyazumgumza kwa kingereza. Sasa neno kama hard disk, keyboard , USB inagwa yanaweza kuwa na kiswahili inawezekana ukaeleweka zaidi uiyatumia kama yalivyo kwa kimombo.

Ni mtazamo tu . Au una maoni gani zaidi mkuu
 
Back
Top Bottom