Salama wakuu!
Jana nilipata nafasi ya kuingia JIJI la daslam kwà takliban masaa manne tu na kuondoka.
Aisee jua ni kali sana.
Afu Biashara Dar kumbe ni kama mikoani huku tu,...maduka unasubiri eti mpaka saa mbili na nusu Asubuhi au saa tatu ndio yanafunguliwa, ( katikati ya mji ) Duuuh
Kilichonikera ni lile jua tu!
Kiukweli sikubahatika kuona pisi kali...
Niliona nyingi ni kama za mikoani tu...
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app