Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,793
Unajua hali ya uchumi za hao Wamasai? Magorofa mengi mjini Arusha, ni ya kwao...na sasa hadi Dsm wanajenga.Watu ea Arusha mna unazi sana na kimkoa chenu, ukifika pale utachoka kinaazia ngarenaro kinaishia ngarenanyuki kwingine kote ni wamasai tu