Mlioko DAR mnawezaje kuishi huko

Mlioko DAR mnawezaje kuishi huko

Yawezekana pisi kali hutegemea na maeneo. Nilitoka Magufuli terminal , straight to Mnazi mmoja, then from Mnazimmoja straight to Magufuli terminal.

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Kuna Barabara inaitwa International road,je umeona wanawake wanavyosukuma magari kuelekea mjini kati.Kwa Dsm bado hujafika Rudi tema mara tatu Tena unde Tegeta,mwenge,Kinondoni ,Kimara,Mbezi beach mitaa ya ngedere, Airport,Tabata na Kinyerezi na maeneo yake ndo uje na ushauri.
 
Salama wakuu!

Jana nilipata nafasi ya kuingia JIJI la daslam kwà takliban masaa manne tu na kuondoka.

Aisee jua ni kali sana.
Afu Biashara Dar kumbe ni kama mikoani huku tu,...maduka unasubiri eti mpaka saa mbili na nusu Asubuhi au saa tatu ndio yanafunguliwa, ( katikati ya mji ) Duuuh

Kilichonikera ni lile jua tu!

Kiukweli sikubahatika kuona pisi kali...

Niliona nyingi ni kama za mikoani tu...

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Maisha yao ni haya hapa 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220929-194340.png
    Screenshot_20220929-194340.png
    123.6 KB · Views: 13
Mkuu huku Ndio Tanzania
Huku ndio kipimo cha kama unahela au unawasindikiza walionazo
 
Yupo sahihi kama ametokea ChugA, darajani kuelekea na kurudi toka huko Duniani..Dar is overrated… nchi ingeendeshwa kimajimbo ChugA ingekuwa kama California.
Labda kwa kugawa makalio kwa wazungu kama wafanyavyo marasta wa chuga.
 
Salama wakuu!

Jana nilipata nafasi ya kuingia JIJI la daslam kwà takliban masaa manne tu na kuondoka.

Aisee jua ni kali sana.
Afu Biashara Dar kumbe ni kama mikoani huku tu,...maduka unasubiri eti mpaka saa mbili na nusu Asubuhi au saa tatu ndio yanafunguliwa, ( katikati ya mji ) Duuuh

Kilichonikera ni lile jua tu!

Kiukweli sikubahatika kuona pisi kali...

Niliona nyingi ni kama za mikoani tu...

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Ungeenda hata kituo Cha makumbusho ujione warembo wakidaka daladala aisew acha kbsa hkn time napata mademu Kama kwenda makumbusho kuona watoto

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna sehemu maduka ya mitaani hufunguliwa na kuchelewa fungwa kama Dsm...
Ni Dar pekee kuna maduka hukesha
 
Salama wakuu!

Jana nilipata nafasi ya kuingia JIJI la daslam kwà takliban masaa manne tu na kuondoka.

Aisee jua ni kali sana.
Afu Biashara Dar kumbe ni kama mikoani huku tu,...maduka unasubiri eti mpaka saa mbili na nusu Asubuhi au saa tatu ndio yanafunguliwa, ( katikati ya mji ) Duuuh

Kilichonikera ni lile jua tu!

Kiukweli sikubahatika kuona pisi kali...

Niliona nyingi ni kama za mikoani tu...

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Kuna harufu gani huku Daslam? Nasikia jiji linanukia Marashi tu
 
Haya baba salam zao kawaadanganye wenzio kuwa umeimaliza dar kw masaa 4 and nothing new, wakati hata kwa mpalange haujafika unamzaha wewe!
 
Back
Top Bottom