Mliochanganya makabila nyie tuwaiteje?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,896
155,936
Kuna Wakimbu, Hawa wamezaliwa kwa baba na mama wa Kikimbu.
Kuna Hawa watoto wanaozaliwa mijini, wamechanganya makabila kichizi, Bibi mchanganyiko wa makabila, baba mchanganyiko wa makabila na toto changanyiko .

Mtoto hajui kilugha, wala hajui asili yao, toto lipolipo tu kama zimwi.

Jamani mnapoteza asili yenu, itafika kipindi mtaharibikiwa kabisaaaa na Wala hamtakuwa na pa kutambikia
 
Waite Watanzania halisi. Karne ya 21 hii ni vizuri kujua asili yako ila siyo lazima kung'ang'ania kujua lugha ya babu zako au kuoa kabila la babu yako haikusaidii kitu kutokana na mazingira ya maisha kubadilika.
 
Kuna Wakimbu, Hawa wamezaliwa kwa baba na mama wa Kikimbu.
Kuna Hawa watoto wanaozaliwa mijini, wamechanganya makabila kichizi, Bibi mchanganyiko wa makabila, baba mchanganyiko wa makabila na toto changanyiko .

Mtoto hajui kilugha, wala hajui asili yao, toto lipolipo tu kama zimwi.

Jamani mnapoteza asili yenu, itafika kipindi mtaharibikiwa kabisaaaa na Wala hamtakuwa na pa kutambikia
Wewe uliyejua asili yako unavuta pumzi tofauti na wale wasiojua asili yao ?
 
Kuna Wakimbu, Hawa wamezaliwa kwa baba na mama wa Kikimbu.
Kuna Hawa watoto wanaozaliwa mijini, wamechanganya makabila kichizi, Bibi mchanganyiko wa makabila, baba mchanganyiko wa makabila na toto changanyiko .

Mtoto hajui kilugha, wala hajui asili yao, toto lipolipo tu kama zimwi.

Jamani mnapoteza asili yenu, itafika kipindi mtaharibikiwa kabisaaaa na Wala hamtakuwa na pa kutambikia
Tanzania tuna makabila zaidi ya 120 Hebu nitajie makabila yaliyoko nchini wingereza acha mawazo ya kijima hata hapa Tanzania miaka 100 ijayo lugha za makabila madogo zitakuwa zimekufa kutakuwa na chembechembe za makabila ya wasukuma maana wako wengi.
 
Back
Top Bottom