Nyamwage
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 757
- 1,866
Mnada wa kampuni inayoitwa KC GLOBAL unaoendelea pale Bunju mianzini jamaa anajinadi anauza tv 43 inch smart laki tatu na 55 inch laki tano laptop laki moja monitor 24 inch elfu 50 nimefika pale kwa lengo la kununua monitor 24 inch lakini zilikua zimeisha zimabaki za inch 17 bei yake ni elfu 30 lakini hazija kaa kijanja nahisi zitakua za miaka ya 90
Mazuri nilioyashahudia pale mwamba anagawa baiskeli za walemavu bure kwa hilo kaupiga mwingi sana Mungu ambariki
Kilocho nifanya nitoke pale bila kunununua kitu ni unatoa pesa alafu unakabidhiwa tv yako hakuna kuchagugua sijui unataka frameless au yenye thin bezel hapana pale unapewa tv bora iwake kama haiwaki unabadilishiwa palepale ukitoka nje ya geti warranty imeisha
Shida ni moja unaweza ukapewa tv nzima inawaka tatizo ni ya kizamani yenye mafremu mapana lakini vitu vizuri vipo mpaka magari RANGE ROVER kwa 33milioni video iko chini