Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Akirudi tu ntamdaka juu juuNaona kaamua kukimbia.
Akirudi tu ntamdaka juu juuNaona kaamua kukimbia.
Vipi story iliendelea? Maana sijatembelea kipande ile.Akirudi tu ntamdaka juu juu
Aaah hajaendelea banaVipi story iliendelea? Maana sijatembelea kipande ile.
unatafuta?Kaka yako napanga kuleta bango lingine, itabidi vigezo nipunguze maanake vile vya mwanzo mlilalamika sana.....Ile kigezo ambacho ahkibadiliki ni ID lazima iwe ina mwaka mmoja!
unataka mke au mgegedo part time?Ndio. Uko tayari niwekeze?
wewe niambie nisikie kutoka kwako isiwe ikawa nimekushinikizaWhat can u offer?
Nini hilo?!!
Nilitaka uje nikusikie...nilikumiss 🙂🙂

Nitajitahidi kuja mara kwa mara roho yako itulie vizuriNikishakuona hapa roho yangu inatulia....🙂

Yea right!Wow...nitanenepa mwaka huu....

Last born wa mchepuko wangu