Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,369
- 176,203
Malipo hapa hapa!! Nakumbuka ulivyoninyanyasia mwanangu siku ile.
Heaven Sent dota njoo uone disco limeingia mang'ati na mashuka yake.
Unanitaka sana na unavyotumia nguvu kubwa kunichafua unadhani nitakosa nirudi kwako![]()
![]()
Teh teh..Huko kukutaka vepee..Hata nikipewa nyongeza nahisi nimedhulumiwa..