What's crackin'?Dude....
Stay away from my Miss NatafutaWhat's crackin'?
Pata kibwagizo
Hamtuwashiii, hamtuzimii
Mwaona donge la nini
Kama mnaweza pandeni juu mkazibe
Wanadamu walimwengu kama familia yetu yawakera, mbona watakereka sana
Na watakereka sana
Jicho la kutuonea hawanalo walimwengu
Wanatuonea haya aloturuzuku Mungu
Ya shari watuombea yatufike walimwengu. .....
poor little girl. Beba begi nenda shule mama this is adult stuff. Naona mama yako ameelemewa ameona akufundishe ili uwe unamsaidia..pole sana haya mambo mazito huwezi kuelewa subiri ukueYou will know the city and it's lights![]()
![]()
poor little girl. Beba begi nenda shule mama this is adult stuff. Naona mama yako ameelemewa ameona akufundishe ili uwe unamsaidia..pole sana haya mambo mazito huwezi kuelewa subiri ukue
You will know the city and it's lights
hii inanihusu mimi au ninyimbona sijawahi kuitumia hiyo avatar ya kambona
Ulikuwa umetabasamu kweli?espy Heaven Sent Jovitha Nalendwa kwanini mwanaume najitolea kukupa lift unakataa? Kwa nia njema kabisa nimeona jua kali au mvua inanyesha naamua kukusaidia unakataa! Unajua inauma sana kutoa msaada halafu unakataliwa....jamani sio wote tukiwapa lift tunataka kuwatongoza ni roho nzuri tu ingawa chochote kinaweza kutokea mbele ya safari....acheni hizo
Jitahidi mjuane kwanza then ndo mpeane liftSasa huo si ndio mwanzo wa kujuana?
AhsanteNini tena pacha? Pole na kifungo!
Kumbe kuna vikongwe humu ndani ?Watu wajanjaa akiona kazeeka zeeka anafungua mpya.