Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,357
- 176,162
Yaani sijui nani kalivanga hili ndanga!!Kumbe mdogo wako kaopoa?, mpe hongera! 🙂
Yaani sijui nani kalivanga hili ndanga!!Kumbe mdogo wako kaopoa?, mpe hongera! 🙂
Hahaaaa!! Mke mwenza habari za masiku!Akiona ujumbe huu labda ataelewa...namwambiaga mi waifu matirio ila haniamini kabisa
Tokapa na weweHahaaaa!! Mke mwenza habari za masiku!
we ndo kinara wa kuniharibiaMatirio ya kichina ama??Akiona ujumbe huu labda ataelewa...namwambiaga mi waifu matirio ila haniamini kabisa
Dadeki..Matirio ya kichina ama??
hivi wewe na mkeo mnanitakia nini mimi?Yani ndo mana watu wakiwa wanaongelea Jehanamu mi wala sina wasiwasi..Mana nimewahi kukaa huko na nikasavaivu![]()
![]()
![]()
![]()
Mie tena jamani!! Hadi mume nilikuachia ukamshindwa mwenyewe. Kaboom anadai kukaa na wewe wiki tu akazeeka ghafla!! Hapo mie nimekuharibiaje?
Teh teh..Huko kukutaka vepee..Hata nikipewa nyongeza nahisi nimedhulumiwa..Dadeki..![]()
hivi wewe na mkeo mnanitakia nini mimi?
Yani ndo mana watu wakiwa wanaongelea Jehanamu mi wala sina wasiwasi..Mana nimewahi kukaa huko na nikasavaivu

Unanitaka sana na unavyotumia nguvu kubwa kunichafua unadhani nitakosa nirudi kwakoTeh teh..Huko kukutaka vepee..Hata nikipewa nyongeza nahisi nimedhulumiwa..

Heaven Sent Douta nakumbuka ulinifundisha jibu la hiyo kauli..Embu nikumbusheUnanitaka sana na unavyotumia nguvu kubwa kunichafua unadhani nitakosa nirudi kwako![]()
![]()
Umemiss eeh?Kisses
kwani id mpya inaondoa harufu ya uzee mkuu?Watu wajanjaa akiona kazeeka zeeka anafungua mpya.
We haujamiss?Umemiss eeh?
Akuuu hayo maneno sio yangu ujue!! Ni ya mume nilokuachia ukamshindwa mwenyewe. Ndio nini kunizeeshea baba wa wanangu mapema hivyo!!!![]()
unaona sasa mineno yako? Umetumwa na shetani wewe sio bure
Yani ndo mana watu wakiwa wanaongelea Jehanamu mi wala sina wasiwasi..Mana nimewahi kukaa huko na nikasavaivu
Teh teh..Huko kukutaka vepee..Hata nikipewa nyongeza nahisi nimedhulumiwa..