Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,429
Inawezekana au kavua mguu mmoja kuokoa mudaSasa huyo mmoja mbona bado kavaa skin tight au ina tundu?
Inawezekana au kavua mguu mmoja kuokoa mudaSasa huyo mmoja mbona bado kavaa skin tight au ina tundu?
Aseee rafiki inaonekana unapenda hayo mambooahahaha ata mimi naulizia
Hiyo inaitwa ju kwa ju...Sasa huyo mmoja mbona bado kavaa skin tight au ina tundu?
Yani umejibu bila aibu? Nakuuza aisee kwa mangeNamshukuru Mungu vyotee ni vizima
Yani nimecheka balaaa.Japo umekosea kwa ninavyo jijua hiyo yote ningeibeba kichwaniHongera nasikia umeshaachana na ukapera
![]()
Tukisema id zetu tulizonazo tutakosa kutongozwa....Unasemaje mwanamke?

Nawewe utakuwa hivyohvyo coz mi nawewe mfuko mmojaHa ha ha ha wewe pancha kumbe mtundu!
Anataka nn km kakushinda mpe talakaaShangazi yako ananiandama sana....
Naona unamjua huyo msukuma zaidi yangu sasa eeeeh???We msukuma na cheusi mangala wapi na wapi!! Maybe RRONDO alitaka kutest ladha.
Hongera mwaya, nimeambiwa ndoa imejibu.Yani nimecheka balaaa.Japo umekosea kwa ninavyo jijua hiyo yote ningeibeba kichwani
Natii maelekezo bila shurti, maana unazidi kung'aaEeeh shurti kila siku unimiss zaidi ya jana
MubasharaaYani nimecheka balaaa.Japo umekosea kwa ninavyo jijua hiyo yote ningeibeba kichwani
Unapenda enh??
Usije sema sikukutahadharisha......shauri zakoHivi wewe nimekukosea nini? Mbona unawakosesha hawa watoto bahati?!
Nalendwa usimsikilize huyu ana wivu tu!

Hehehehee hako kakijiwe pendwa...Hilo bench la mianzi ndio kazi yake hio kugegedea? Maanake wale wengine nao walikuwa hapo hapo! Mmetega cctv?