Ntakufundisha ujanjaNikweli lkn siyamapenzii
Ngoja nikutongoze na ID hiyo hiyo...Tukisema id zetu tulizonazo tutakosa kutongozwa....![]()
Amesema hana hamu na wewe kwa ulivyomtenda.Naona unamjua huyo msukuma zaidi yangu sasa eeeeh???
..Hiyo inaitwa ju kwa ju...
![]()
one for ........doh na wewe bado.....Tukisema id zetu tulizonazo tutakosa kutongozwa....![]()
...mechi zote mbn zinachezwa uwanja wa taifa ?unataka wahame uwanja?Hilo bench la mianzi ndio kazi yake hio kugegedea? Maanake wale wengine nao walikuwa hapo hapo! Mmetega cctv?
Funny enough unacheka?
Bench la ufundi
Ulichagua hapa?Talaka kwani ashakuwa mke wangu? Ana wivu na nyie damu changa!
Tena na hii baridi isijipe yani tungeonekanika wazembe.....Hongera mwaya, nimeambiwa ndoa imejibu.
![]()