RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,682
- 129,283
- Thread starter
- #2,641
Humu tunajua ID tu mtu hatumjuiNiliyezeeka ni mimi hata nikitumia I'd gani bado nitabaki kuwa mzee vilevile
Sent using Jamii Forums mobile app
Humu tunajua ID tu mtu hatumjuiNiliyezeeka ni mimi hata nikitumia I'd gani bado nitabaki kuwa mzee vilevile
Sent using Jamii Forums mobile app
asavari!! Nilikuwa nafikiri mvua zimekuficha;
Wewe tunakujua!Humu tunajua ID tu mtu hatumjui



Wewe ulisema utanichukulia jamani!
Hawapo kina nani?asavari!! Nilikuwa nafikiri mvua zimekuficha;
Hili jina huwa lina leta taftarani na vurugu sana miaka iyo. Ila siku hizi nahisi hawapo tena. Au bado wanatumika
Mdogo wangu mwingine hapa. Leo kahongwa bag na bwana ake.
Wewe mdogo wangu unafeli wapi? View attachment 1347539
Sent using Jamii Forums mobile app
Mishil
Ujue sijakuelewa mate, huyu Mishil si mhenga aliyeishi karne sijui ya 15 huko? (Sina uhakika)Mishil