Dada angu mimi
Bag yangu jamani
Fungua mpya mtajuana kuwa ni walewale wakati mnahema, zima taa kabisaMimi nimeamua kukomaa na nyie wenye ID za zamani..ila hizi mpya zinashawishi sana.🙂🙂🙂
Irudi amu na Omotola.....yummy
Duh nani kafukua kaburi?! Kuna watu wanatuchanganya humu
Nilikuwa na imagine tu amu kama OmotolaHii picha nashindwa kuisave kwenye simu ili niiweke humu niitumie. View attachment 1347548
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana yake...



kama omo sexy.




Nilikuwa na imagine tu amu kama Omotola
Aisee!!Fungua mpya mtajuana kuwa ni walewale wakati mnahema, zima taa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefukua kaburi eeh? Ila mimi natamani kurudisha I'd yangu ya zamani ujue hii naona haijanoga


Umefukua kaburi eeh? Ila mimi natamani kurudisha I'd yangu ya zamani ujue hii naona haijanoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe kazi ya kuirudishaUmefukua kaburi eeh? Ila mimi natamani kurudisha I'd yangu ya zamani ujue hii naona haijanoga
Sent using Jamii Forums mobile app
KhantweKwani mwenzetu ulikuwa unatumia IPI?? Au ndiyo paprika wewe