Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,827
- 15,015
Yeah..Huu uzi muhimu..Nikaona nisipite bure..Benny nae kitambo sijamuona..
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah..Huu uzi muhimu..Nikaona nisipite bure..Benny nae kitambo sijamuona..
Maana katika zile movie( nilikuwa naona kila tawala inakuwa na mishil wake ambae huwa hutabiri mambo mbali mbali ya nchi.) Nikawa nahisi mpaka Leo iko hivo maana wenzetu kwa kulinda tamaduni wako vizuri.Ujue sijakuelewa mate, huyu Mishil si mhenga aliyeishi karne sijui ya 15 huko? (Sina uhakika)
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaa kumbe unamaanisha hivyo, Mishil kwani alikuwa mtabiri? Alikuwa mhuni tu yuleMaana katika zile movie( nilikuwa naona kila tawala inakuwa na mishil wake ambae huwa hutabiri mambo mbali mbali ya nchi.) Nikawa nahisi mpaka Leo iko hivo maana wenzetu kwa kulinda tamaduni wako vizuri.
Mimi nikibadili naweka real name babake!Siku ukibadilisha yako mama ake!!
Usinisahau kuni tag tu
Naomba unisaidie kuumuuliza Lovely mom zamani alikuwa akijiita nani eti jamani kakaImezeeka







Hahaha!! Jina zuri hilo naachaje achaje kulijua mimiMimi nikibadili naweka real name babake!
Najua real name unaijua haitokusumbua wala!
Zigo lako ninalo, natamani kulivaa!!
Sauti inatosha kabisaa jamani dear!!









HayaHahaha!! Jina zuri hilo naachaje achaje kulijua mimi



poleee
Una nini lakinii??? Leo umekuwa mchokozi akiii
Sauti inatosha kabisaa jamani dear!!
Ilikuwa sio kuhongwa, zawadi jamani
Zigo lako ninalo, natamani kulivaa!!
Kuna tatizo lilitokea kidogo, ila nitakuletea!