RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,682
- 129,283
- Thread starter
- #2,681
PamojaYeah..Huu uzi muhimu..Nikaona nisipite bure..Benny nae kitambo sijamuona..
Sent using Jamii Forums mobile app
PamojaYeah..Huu uzi muhimu..Nikaona nisipite bure..Benny nae kitambo sijamuona..
Sent using Jamii Forums mobile app
Lovely mumNaomba unisaidie kuumuuliza Lovely mom zamani alikuwa akijiita nani eti jamani kaka
Mishil ni character wa movie gani?Ahaa kumbe unamaanisha hivyo, Mishil kwani alikuwa mtabiri? Alikuwa mhuni tu yule
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana jamani
Hahahahah
Sawa dearCresida amesema kuna mtu kahongwa bagi, akauliza wewe Sakayo unakwama wapi?
Ndipo nikajibu kuwa Sakayo anajitosheleza hahitaji kuhongwaa
Sent using Jamii Forums mobile app


Hahahahah
Halafu ndo nilete baada ya kuvaa au umesusa?!








Unajua kanuni ya wauza pombe za kienyeji?
Ana onja kabla ya kumpa mteja
Sent using Jamii Forums mobile app








Nakuletea mimi jamani!