Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,655
Ujumbe murua huu
Asiyekubali kushindwa José jamani punguza unyapiajiNgoja nicheke.... HAHA HAHA HAHA
Ni Kweli....ila Dhambi hii ipo sana sana jamani lol...akikufuatafuata yeye mwenyewe mchape nao ile usiweke kambi..ila kama unamfukuzia Mke wa Mtu kamwe hawezi kukutetea kwa hali yoyote ile kama kuna dalili za kukamatwa...za kuambiwa changanya na za kwako..the higher the risk the higher the return....Wake za watu wanataka wenyewe Wala si utani.
hahah sawa pouwaaaaAsiyekubali kushindwa José jamani punguza unyapiaji
Ulichelewa wapi mkuu?Ngoja nicheke.... HAHA HAHA HAHA
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]mke wa mtu hana gharama mipaka wala stress,pia ni watamu balaa kama samaki migebuka!
Tena biashara nzuri saaana[emoji122][emoji122]Kumbe nianze biashara ya kuuza rungu naona vijana mmeamua kuchunga wanawake
Du hataremke wa mtu hana gharama mipaka wala stress,pia ni watamu balaa kama samaki migebuka!
Tunatesa kwa zamu teh ...Acheni ubinafsi, waache wapate raha bwana.
Aaah kabisa. Watulie tu.Tunatesa kwa zamu teh ...
Unataka kumaanisha kuwa wake zetu tumewaongeza utamu?mke wa mtu hana gharama mipaka wala stress,pia ni watamu balaa kama samaki migebuka!