Mlioa kuweni makini na wake zenu

Mlioa kuweni makini na wake zenu

Sio kutafuta pesa tu mkuu, bali pia ktk kujenga familia bora. Malezi yamekuwa ni changamoto sana.
Sasa mwanaume wakati unawaza kuzisaka pesa hapo ndipo mama anapaswa afanye nafasi yake ya malezi ipasavyo haswaaa na sio kuwaza michepuko. Nawe baba usiisahau familia yako kila inapobidi.

Hakika!!
 
Wake za watu baadhi wamekuwa hovyo kabisa. Waume zao hawawaridhishi hivyo wameamua kufanya private parts zao kuwa for public consumption.
 
umesema kweli kametokea kawimbi kakukera kuna age fulan za vijana sasa hv mjini hawana kazi !kazi yao kusifia tuuu wake za watu wanajifanya wanacare kizembe zembe yaan unajiuliza hv huyu ht mamake anamcare namna hii !yaan vinajitongozesha live kwa wake za watu ptuuuuuuuuuuuuu
Wakumechisha mkanda wa suruali na raba??? Aiseee mbn sikutani nao hao visokolokwinyu kwanza nikavikoa viduku vyao??
 
Hata fashen za nguo huvuma na kupotea ......Huenda ndo msimu wa hayo mambo yatapita na kuacha athari zake , maisha yanaendelea.
 
Madai yenu kuwa wake za watu hawana gharama, siku ya kuguswa ndogo ndio garama itaonekana.
 
Hata fashen za nguo huvuma na kupotea ......Huenda ndo msimu wa hayo mambo yatapita na kuacha athari zake , maisha yanaendelea.
Tatizo ni athari itakayoachwa itakuwa kubwa kiasi gani!! Kumbuka wanaoumia na huu upuuzi wote ni watoto.
 
Wakumechisha mkanda wa suruali na raba??? Aiseee mbn sikutani nao hao visokolokwinyu kwanza nikavikoa viduku vyao??



hahaaa hao hao yaan unawakuta wamekaa madukan sehemyyt ile ukitokeza tu salamnyingiiiiiiiii sifa nyingiiiiiiiiiiiiiiiiii chefuu
 
Tatizo ni athari itakayoachwa itakuwa kubwa kiasi gani!! Kumbuka wanaoumia na huu upuuzi wote ni watoto.
kabisa kama ile tabia ya wazee wetu ( siyo wote) kuhangaika na vibinti ya kuziyumbisha familia zao...Hili ni janga jipya na lina kasi ya ajabu ....
 
hahaaa hao hao yaan unawakuta wamekaa madukan sehemyyt ile ukitokeza tu salamnyingiiiiiiiii sifa nyingiiiiiiiiiiiiiiiiii chefuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah itabidi nipunguze ugeti kali mweee, yaan wanakugeuza km kabinti ka miaka 19 kweli dunia hadaa
 
kabisa kama ile tabia ya wazee wetu ( siyo wote) kuhangaika na vibinti ya kuziyumbisha familia zao...Hili ni janga jipya na lina kasi ya ajabu ....
Kwakweli, ndio maana malezi yanazidi kuwa magumu. Maana watoto wetu wanajifunza kutoka kwetu, hivyo tukiharibu sisi tumewaharibu na wao.
 
Kwakweli, ndio maana malezi yanazidi kuwa magumu. Maana watoto wetu wanajifunza kutoka kwetu, hivyo tukiharibu sisi tumewaharibu na wao.
Na huenda hili likawa ni kati ya athari nyingi ya tabia zilizopita ( ya wazee kutembea na vibinti vyao)
 
Back
Top Bottom