Mlioa kuweni makini na wake zenu

Mlioa kuweni makini na wake zenu

Hii imekaa vibaya sana, nakumbuka juzi na jana ndo mada zilizotawala kijiweni.. Hakika hali ni tete, na kwa bahati mbaya wanawake wengi hawajui kutunza siri za mambo yao. Akimsimulia rafiki yake tu, mtaa mzima umejua.

Itahamika tu, hakuna marefu yasiyo na mwisho..
Yaani huku nakoishi utadhan ni mashindano ya bigbrother
 
Hata ukiwa macho kama mke hajilindi ni bure, kumbuka mwanamke mwema hujilinda na halindwi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah itabidi nipunguze ugeti kali mweee, yaan wanakugeuza km kabinti ka miaka 19 kweli dunia hadaa


ahaahhha vinakera mnoo ! sasa uwe na kausafiri uwiiii utaitwa majina yoote !hapo ana kiduku !jaman nachefukwa
 
Yaani jambo la msingi wanaume wawatunze na kuwaonyeaha wake zao mapenzi.Sio unamweka ndani unamuacha kama mdoli au pambo,humpi haki yake ya ndoa kila siku una sababu za kuchoka ,humtunzi na humwambii maneno matamu ya mahaba,akikutana na mtaalam atambeba tu.Wanaume jiongeze


Wasimamia kucha haaaaa! Kwa kweli Me wanachangia na wajue mpaka mwanamke anachepuka kavumilia vya kutosha.Ijapokwa mnatakiwa kuvumiliana Mwanzo mwisho ila wengine uvimilivu unawashida.
 
Nina majibu mawili tuu.
Moja, wasichana wadogo ni wasumbufu sana, wake za watu wamesharidhika, hawana usumbufu wala kero nyingi.

Pili, Wake za watu wengi wana tatizo la kutokuridhishwa kunako 6 kwa
6. Unaweza kubisha lakini kila mtu anaujua ukweli wake. So wakiona mwanya lazima achepuke. Kuna siku nilikuwa safarini kikazi kwa muda wa wiki mbili mfululizo. Ilipofika weekend nikawa nimepumzika tu hapo lodge niliyofikia, siku ya jumamosi. Muda wa saa nne hadi saa nane, ndo mida ya wake za watu kuingia na wavulana wadogo huwezi amini. Nikiwa nimekaa veranda ya nje napiga story na wahudumu wa pale, mida ya saa tano asubuhi nikamwona mama mmoja umri ni zaidi ya 30, ila mvulana aliyeingia naye hajazidi 25 by any means. Nikashtuka lijimama tufu tufu linaendaje na kijana mdogo yule wanaingia kuchukua chumba. Nikapiga story na mhudumu, akaniambia unashangaa nini? Hii ndo mida ya wake za watu kupigwa m**o maana wanaume zao wameshaondoka kwenda kwenye mishe mishe.
 
Back
Top Bottom