Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,339
- 94,003
I mean ,,, mwanamme nikujua unachokifanya ,, yaaan kua mwanamme kila sekta.Una maana gani
I mean ,,, mwanamme nikujua unachokifanya ,, yaaan kua mwanamme kila sekta.Una maana gani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya mkuumkuu hiyo ni picha tuu
me ni mwembamba sanaa
Umejibu kiumeni, huenda ni kwasababu ya hilo jinaI mean ,,, mwanamme nikujua unachokifanya ,, yaaan kua mwanamme kila sekta.
Huyu jamaa [emoji116].....Umejibu kiumeni, huenda ni kwasababu ya hilo jina
Hahaha sasa wewe mbona umejitoa, au we hupendi hizo raha za kupewa na michepuko.Kwakweli, hawataki wenzao wapate raha.
Mie nimejitoa maana kati ya vitu sifikirii kufanya ni kuchepuka.Hahaha sasa wewe mbona umejitoa, au we hupendi hizo raha za kupewa na michepuko.
Bila shaka, uanaume wake dunia inautambuaHuyu jamaa [emoji116].....
![]()
Ahaaah nimekuelewaMie nimejitoa maana kati ya vitu sifikirii kufanya ni kuchepuka.
Upo sahihi kabisa [emoji818]Mtu mzima hachungwi, wakuchepuka atachepuka tu hata ufanyeje. Lamsingi kila mmoja acheze nafasi yake ipasavyo huku heshima ikitawala. Saivi umakini unahitajika sehemu moja tu, KUTAFUTA PESA hali sio nzuri.
Sio kutafuta pesa tu mkuu, bali pia ktk kujenga familia bora. Malezi yamekuwa ni changamoto sana.Mtu mzima hachungwi, wakuchepuka atachepuka tu hata ufanyeje. Lamsingi kila mmoja acheze nafasi yake ipasavyo huku heshima ikitawala. Saivi umakini unahitajika sehemu moja tu, KUTAFUTA PESA hali sio nzuri.
[emoji122] [emoji122]Sio kutafuta pesa tu mkuu, bali pia ktk kujenga familia bora. Malezi yamekuwa ni changamoto sana.
Sasa mwanaume wakati unawaza kuzisaka pesa hapo ndipo mama anapaswa afanye nafasi yake ya malezi ipasavyo haswaaa na sio kuwaza michepuko. Nawe baba usiisahau familia yako kila inapobidi.
[emoji120] [emoji120]Upo sahihi kabisa [emoji818]
Ahahahaaaaa ngoja nimuite aje atupe points zake[emoji120] [emoji120]
Msalimie jirani yako.
Wanaongoza Kutafuna Wake za Watu ni Masela Wanaokaa Vijiweni Wale Ni Hatari sana Hana Kazi ya Kufanya So Kuanzia Asubuhi Mpaka Jioni Hana Haja Ya Kupiga Kazi Kutafuta Hela yeye Anamfukuzia Mkeo So Lazima Amtafune Tu .