Mlioa kuweni makini na wake zenu

Mlioa kuweni makini na wake zenu

Amani iwe nanyi watu wa Mungu

Ktk siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi LA wanaume kupenda wake za watu, sijajua hii inatokana na nini.

Mlooa kuweni makini na wake zenu

Awali ilizoeleka wanaume waliooa ndo wanapenda kuchepuka yaani kuwa na wasichana, lkn kadri siku zinavyosonga mambo yanqbadilika,

Sasa jumba bovu limeamua kuangukia huko kiumeni tena kwa wake zenu mlowaoa kwa heshima zote, inasikitisha sana

Swali langu
Km wanaume mlooa na ambao hmjaoa mmeamua kwenda kwa wake za watu, na wasichana ambao hawajaolewa ndo wanatafuta ndoa, wataolewa na nani? Kwann mnawatenda hivyo?

Hakika Mungu anawaona wote
Jua unachokifanya.
 
Sio vijana wanapenda wake za watu bali wake za watu wanapenda vijana kwa ajili ya shoo za kibabe sasa we ulieoa cheza cheza tu watu wanasimamia kucha!!!!
 
Back
Top Bottom