ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,239
- 40,778
Uzuri mtu akitaka kulia tunamjua ni kama anataka kulia hivi 🥹😅😅Wabongo wakikuamulia 😂😂😂🤦🏻♀️
Priscilla kasema anitwa mrs free Juma Jux 🤣 Mtoto mshari yule ananifurahisha sana.

Ni yeye huyo. 😂😂🤣🤣🤣 japo sijui kilichopo kwenye ndoa ila niseme kuwa huyo wa upande wa kulia sio Jux, hajakonda kiasi hiko