R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,024 Reaction score 101,750 Apr 22, 2026 #1 Naambiwa leo Jiji la dar polisi wenye silaha wametapakaa kila kona. Ni wazi kesho CHANDE Anakuja kuongea visivyoeleweka Usitegemee jipya kesho jiandae kupasuka moyo mara 200..by SATIVA
Naambiwa leo Jiji la dar polisi wenye silaha wametapakaa kila kona. Ni wazi kesho CHANDE Anakuja kuongea visivyoeleweka Usitegemee jipya kesho jiandae kupasuka moyo mara 200..by SATIVA
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 52,580 Reaction score 127,433 Apr 22, 2026 #2 Mwanaume wa daslamu, shabiki kindakindaki wa assanal washindi wa nafasi ya pili msimu wa 2025/26 bwana Intelligent businessman vp n ya kweli hayo
Mwanaume wa daslamu, shabiki kindakindaki wa assanal washindi wa nafasi ya pili msimu wa 2025/26 bwana Intelligent businessman vp n ya kweli hayo
Funny boe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2023 Posts 3,471 Reaction score 7,764 Apr 22, 2026 #3 Hayana ukweli hayoo
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 22,149 Reaction score 45,920 Apr 22, 2026 #4 Huu ni ule wakati ambao mtu akilala na kuota ndoto nyevu basi chap anaamka na kuanza kuandika ile ndoto yake nyevu mtandaoni. Tuwe makini kweri kweri 😎.
Huu ni ule wakati ambao mtu akilala na kuota ndoto nyevu basi chap anaamka na kuanza kuandika ile ndoto yake nyevu mtandaoni. Tuwe makini kweri kweri 😎.
Ntu Mpyaaa JF-Expert Member Joined Sep 13, 2024 Posts 986 Reaction score 1,821 Apr 22, 2026 #5 Limebaki lisaa limoja tu ifike kesho ngoja tuone
C Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 13,240 Reaction score 26,942 Apr 22, 2026 #6 Kwa iyo watu wote wamekaa wakijua kwenye tume ile kuna la maana zaidi ya kuisafisha serikali!! Mtastaajabu sana hiyo kesho. "Anaemlipa mpiga zumari, ndie anaechagua wimbo".
Kwa iyo watu wote wamekaa wakijua kwenye tume ile kuna la maana zaidi ya kuisafisha serikali!! Mtastaajabu sana hiyo kesho. "Anaemlipa mpiga zumari, ndie anaechagua wimbo".
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,868 Reaction score 110,240 Apr 22, 2026 #7 Sidhani kama kuna wabongo wengi wenye shauku ya kufuatilia siasa na matukio ya kisiasa haswa yanayohusu CCM au serikali kwa sasa... Haya matukio yamebakia kuwa sehemu maisha ya viongozi na wafuasi wachache wanufaika wa CCM&co...
Sidhani kama kuna wabongo wengi wenye shauku ya kufuatilia siasa na matukio ya kisiasa haswa yanayohusu CCM au serikali kwa sasa... Haya matukio yamebakia kuwa sehemu maisha ya viongozi na wafuasi wachache wanufaika wa CCM&co...
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 46,407 Reaction score 102,454 Apr 22, 2026 #8 Mbaga Jr said: Mwanaume wa daslamu, shabiki kindakindaki wa assanal washindi wa nafasi ya pili msimu wa 2025/26 bwana Intelligent businessman vp n ya kweli hayo Click to expand... Oya tuheshimiane mi, mtu mzima nina familia aisee.
Mbaga Jr said: Mwanaume wa daslamu, shabiki kindakindaki wa assanal washindi wa nafasi ya pili msimu wa 2025/26 bwana Intelligent businessman vp n ya kweli hayo Click to expand... Oya tuheshimiane mi, mtu mzima nina familia aisee.
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 46,407 Reaction score 102,454 Apr 22, 2026 #9 Watu8 said: Sidhani kama kuna wabongo wengi wenye shauku ya kufuatilia siasa na matukio ya kisiasa haswa yanayohusu CCM au serikali kwa sasa... Haya matukio yamebakia kuwa sehemu maisha ya viongozi na wafuasi wachache wanufaika wa CCM&co... Click to expand... Shida ni watakao zushiwa kama wasababishi, why polisi wazurure kama askari kanzu mjini
Watu8 said: Sidhani kama kuna wabongo wengi wenye shauku ya kufuatilia siasa na matukio ya kisiasa haswa yanayohusu CCM au serikali kwa sasa... Haya matukio yamebakia kuwa sehemu maisha ya viongozi na wafuasi wachache wanufaika wa CCM&co... Click to expand... Shida ni watakao zushiwa kama wasababishi, why polisi wazurure kama askari kanzu mjini
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,024 Reaction score 101,750 Apr 23, 2026 Thread starter #10 secretarybird said: Huu ni ule wakati ambao mtu akilala na kuota ndoto nyevu basi chap anaamka na kuanza kuandika ile ndoto yake nyevu mtandaoni. Tuwe makini kweri kweri 😎. Click to expand... Usiwe CCM. Fanya utafiti, nenda maeneo aliyoyataja hakikisha! Njoo then uandike ulichokiona.
secretarybird said: Huu ni ule wakati ambao mtu akilala na kuota ndoto nyevu basi chap anaamka na kuanza kuandika ile ndoto yake nyevu mtandaoni. Tuwe makini kweri kweri 😎. Click to expand... Usiwe CCM. Fanya utafiti, nenda maeneo aliyoyataja hakikisha! Njoo then uandike ulichokiona.