Mlinzi kipofu

bothlegs

Senior Member
Joined
Apr 14, 2009
Posts
123
Reaction score
49
Kuna Kampuni moja ilimuajiri mlinzi kipofu.Mashariti ya kupita katika geti la Kampuni ni lazima uwe kipara. Unapotaka kupita yule mlinzi anakupapasa kichwa ILI KUHAKIKISHA KWAMBA WEWE NI KIPARA.Jamaa mmoja alitaka kupita lakini alikuwa hana kipara.Akavua suruali yake na kushusha chupi yake kidogo.Akapita makalio yake yakiwa juu.Yule mlinzi kama kawaida yake akampapasa,kwa bahati mbaya akamtia kidole cha makalio.Kisha mlinzi akamuuliza yule jamaa mbona mnapita wawili wawili na huyu mmoja ananuka mdomo.Inaonyesha hajapiga mswaki.
 
huyo jamaa alikua rasta,hakutaka kunyoa,akaambuliakupigwa dole la mk.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…