donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Mshana jr, nimekusaliti kidgo kwenye kile chama chetu..nnn[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba unitumie hyo misosi PMMshana jr, nimekusaliti kidgo kwenye kile chama chetu..nnn[emoji3] [emoji3] [emoji3] View attachment 577359
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaAiseee, mimi ni mdada ila siwezi shiba hivyo vitu hata kwa chai tuu bado ni light sana
Mmh!tunatiana hamu ya kula jamani!!!
Na mimi naona likuku la kichina badala ya Kitimotos? sasa ndo nini hii bana.Sioni pombe
[emoji23] [emoji23] usitowe hamu tu mkuu, njoo uletunatiana hamu ya kula jamani!!!
Hahaha, mkuu hii ni stua tumbo tu si kwamba ati ndo mchana utapita kwa kuku tu, hapana mkuuAiseee, mimi ni mdada ila siwezi shiba hivyo vitu hata kwa chai tuu bado ni light sana
Nimekwenda mbaaaali!
unatakiwa hapo ikae kitmoto heav na ugali mkubwa km kitambi cha lemutuzMshana jr, nimekusaliti kidgo kwenye kile chama chetu..nnn[emoji3] [emoji3] [emoji3] View attachment 577359
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimekwenda mbaaaali!
Hahahah eti cha mutuzunatakiwa hapo ikae kitmoto heav na ugali mkubwa km kitambi cha lemutuz
Karibu mkuu tatizo haukua around kabisa nimekuangalia kwenye nearby wa FB sijakuona nikaona acha nishushe kitu tuLooooh..!!
Hata karibu boxi wangu.