Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
offcourse hawa ndio wanakulaga madili ya kutuibia pale ...na inawezekana wakubwa wa pale wanakula na hao wezi ..kama mnabisha kwa nini hawataki kuweka camera? hawana pesa?Tatizo la hii cctv chapa mtu......ni kwamba haina memory card,so haitaweza kuonyesha tukio lilivyoanza hadi kuisha.
so what?JF kumbe nao ni mabingwa wa kudesa kwa Michuzi eeh! Nilifikiri Mjengwa pekee ndio mwenye hiyo tabia.
hahhahah .....waafrica hamnazo kweli ...tukiambiwa kuwa tuna iq ndogo tunabishaaaaaaaa hadi mimate na mapovu yanatutoka ..sasa hiki ni nini?
picha kwa hisani ya michuzi
Imenikumbusha vichanja vya kulinda ndege kwenye mashamba ya mpunga enzi zetu !
Hapo nimekusoma mkuu!tatizo hiyo system ya cctv walioweka ina possibility ya kula rushwa!
tatizo hiyo system ya cctv walioweka ina possibility ya kula rushwa!
Hamna kitu hapo, yale ya nyuma yake yanajilinda yenyewe.na isitoshe hapo kwenye picha ya pili kuna magari nyuma yake.....anayalindaje....
cctv kwa dar haisaidii sababu hakuna database ya raia. sasa hata ukimuona mtu inakuwaje? unaanzia wapi kumtafuta? unless kuwe na 24hr security service nearby, ready to take action? which takes us back to this option, they just skipped the CCTV
:bange: Kitu hii sio sisi tivii ni nyie tiviihahhahah .....waafrica hamnazo kweli ...tukiambiwa kuwa tuna iq ndogo tunabishaaaaaaaa hadi mimate na mapovu yanatutoka ..sasa hiki ni nini?
picha kwa hisani ya michuzi