Mlimani city waweka CCTV (kamera chapa mtu)

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,377
58,384
hahhahah .....waafrica hamnazo kweli ...tukiambiwa kuwa tuna iq ndogo tunabishaaaaaaaa hadi mimate na mapovu yanatutoka ..sasa hiki ni nini?
picha kwa hisani ya michuzi
IMG_0713.jpg

IMG_0692.jpg
 
Tatizo la hii cctv chapa mtu......ni kwamba haina memory card,so haitaweza kuonyesha tukio lilivyoanza hadi kuisha.
offcourse hawa ndio wanakulaga madili ya kutuibia pale ...na inawezekana wakubwa wa pale wanakula na hao wezi ..kama mnabisha kwa nini hawataki kuweka camera? hawana pesa?
 
JF kumbe nao ni mabingwa wa kudesa kwa Michuzi eeh! Nilifikiri Mjengwa pekee ndio mwenye hiyo tabia.
 
Imenikumbusha vichanja vya kulinda ndege kwenye mashamba ya mpunga enzi zetu !
 
Moja nusura lidondoke juzi, kumbe lilikua linasinzia na kile kibanda sijui hakijakaa vizuri au sijui jamaa aliota yuko kwenye ndege halafu ndege inaanguka! Jamaa kashtuka kaanza kupiga kelele, kujistukia tu kakuta watu wanacheka! wee kawa mbogo!
 
hahhahah .....waafrica hamnazo kweli ...tukiambiwa kuwa tuna iq ndogo tunabishaaaaaaaa hadi mimate na mapovu yanatutoka ..sasa hiki ni nini?
picha kwa hisani ya michuzi
IMG_0713.jpg

IMG_0692.jpg

sion kama suluhisho,,,,nadhan ni mipango ya pesa maana kampun ya ulinz ni hiyohiyo:eek:mega
 
First Floor ya hicho Kichanja ni ya hao Mabawabu wa hiyo Kampuni ya Omega Nitro na
Ground floor ya hicho KICHANJA ni Mahabusu ndogo ya watakaowakamata wakiiba kwenye magari...LOL
 
walau itasaidia kidogo, wakuu watu walikuwa wanalizwa kila siku pale bila msaada wowote ule
 
cctv kwa dar haisaidii sababu hakuna database ya raia. sasa hata ukimuona mtu inakuwaje? unaanzia wapi kumtafuta? unless kuwe na 24hr security service nearby, ready to take action? which takes us back to this option, they just skipped the CCTV
 
mlimani city wanatakiwa wawe na security control room na security guards wanaofanya patrol ili control room wakiona kitu wawasiliane na guards kwa kutumia radio call. Zipo inteligent cameras ambazo ni rahisi kufanya monitoring.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom