CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,388
- 6,482
Jamani mbona mlima wa mto wa Gertrude Rwakatare haukuwaunguza waliobomoa nyumba zake nne juzi mbezi beachi. Nguvu za upako hazikuwazuia wasizibomoe. Duniani kuna mambo!
Hayo ni majina tu hata huyo Mungu wangekuwa wanamjua wasingedhulumu.