Mlima Namanga wapasuka katikati na kuporomoka

Mlima Namanga wapasuka katikati na kuporomoka

Mzee yuko sahihi ila wewe umekariri elimu uchwara. Kwa mujibu wa dictionary ; Kupasuka(break)-disintegrate, fall to pieces, split. Na hayo Material pia yalikuwa yanaunda mlima.
Break sio kupasuka kijana, una ubongo humo ndani ya kichwa , tafadhali utumie , hiyo dictionary imeandikwa na mtu kama wewe ambaye anaweza kuandika makosa pia.
 
Walokole na makobazi wafia dini watasema kiama kimefika Mungu amekasirika.

Wasomi tutasema Hii ni land slide imesababishwa na mvua kali ikapeleka ground become unstable and results materials slide or fall downhill.

Geomorpholy hiyo geos watanielewa.
 
Mass wasting anasema mlima umepasuka😬😬

Mhh
Hii nchi kila mtu ni mwehu
Huyu nae anaita Land slide mlima umepasuka

Na ni Platinum Member. Wanajifanya wakongwe sana kumbe 0

Hao ndio unakuta wanakwambia kupata GPA kubwa sio deal ili kuhalalisha uvivu wao wa kusoma kwa bidii.

Walokole na makobazi wafia dini watasema kiama kimefika Mungu amekasirika.

Wasomi tutasema Hii ni land slide imesababishwa na mvua kali ikapeleka ground become unstable and results materials slide or fall downhill.

Geomorpholy hiyo geos watanielewa.

Wakuu, wote mpo sawa yeye na wewe mnachojua kitu kimoja tofauti ni lugha tu (terminology)

Tatizo amehusianisha na Imani...

Lakini nakwambia kuna nguvu ya ulimwengu aidha kwa intelligence yake au kwa kuamrishwa na walimwengu inaweza kufanya hiyo kazi kwa makusudi(intention) kwa kushirikisha matter za ulimwengu.
 
Break sio kupasuka kijana, una ubongo humo ndani ya kichwa , tafadhali utumie , hiyo dictionary imeandikwa na mtu kama wewe ambaye anaweza kuandika makosa pia.
Kwa hiyo reference ni nini kama dictionary huitaki? Elezea hiyo Land slide kwa kiswahili
 
Attachments

  • photo(J1).png
    photo(J1).png
    34.9 KB · Views: 7
Back
Top Bottom