Mlima Kilimanjaro ni mzuri sana

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
7,901
Reaction score
16,213
Huu mlima kwa kweli salute sana. Yani siku kukiwa na clear sky mwonekano ni something else kabisa.
Sasahivi ni jioni na unaonekana fresh hivi, siku ukiuona mchana na jua linapiga fresh view inakuwa very magnificent


Milima mingine ambayo nimeiappreciate kimuonekano ni Mlima Meru na Mlima Oldonyo Lengai
Milima imetulia sana. Inabidi nipande milima yote hii mitatu one day
 
Hii picha umeipiga ukiwa sehemu gani mkuu
 
Samahani mkuu....
Kwani unatokea kijiji gani..🤔
 
Rombo kuna sehemu panaitwa kasirwa aisee ni hatari kwa muonekano wa kibo yaani ukiwa hapo ni kama uko pale juu kileleni
Natamani niende maeneo kama hayo niuone kwa karibu zaidi
 
Nimesikia kuna moto mkubwa umezuka huko umeshaunguza zaidi ya square kilomita 18 za msitu unaozunguka mlima
 
Lini umenunua sim yenye camera inayo kufurahisha mkuu...🤣
 
Samahani mkuu....
Kwani unatokea kijiji gani..🤔
Kwa nini, kisa nimeukubali Mlima Kilimanjaro au?
Mbeya hakuna Mlima kama huu, af napenda sana kuangalia milima kwa hiyo ninaappreciate Mlima Kilimanjaro
Mbeya tunao huu, ambao nao naukubali pia. Napenda sana milima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…