Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,370
- 2,716
Huku ni kuuana sasa na kupeana umasikini...
Awashindwi hao wakiamua mkuu nawaogopa sana wakikasilika haoHilo jambo dogo sana kwa hao viumbe
Hao ni wale ambao wamefeli katika kutimiza majukumu yao, na hawajiaminiAlafu wengi wao wanapenda sana hii kitu
Mganga akiwa anakuingizia dawa huwa unasikia raha ehh?Hahahaaa afu ss tukiwaendeaga kwa waganga mnakuwa kama mandondocha.....
Ananiingizia dawa WAP!!?? By the way sijawah kubahatiki kwenda kwa mganga mkuuMganga akiwa anakuingizia dawa huwa unasikia raha ehh?